M Maikoel JF-Expert Member Joined Mar 9, 2019 Posts 1,039 Reaction score 1,584 Oct 9, 2022 #1 Una mke wako ambaye umeishi naye kwa miaka kadha hadi sasa. Je ni sehemu gani za mwili wake ambazo alama za viganja vyako (fingerprint) zikitafutwa hazitaonekana? (Sitarajii kutajwa sehemu za ndani ya mwili kama maini, figo, utumbo, nk.)
Una mke wako ambaye umeishi naye kwa miaka kadha hadi sasa. Je ni sehemu gani za mwili wake ambazo alama za viganja vyako (fingerprint) zikitafutwa hazitaonekana? (Sitarajii kutajwa sehemu za ndani ya mwili kama maini, figo, utumbo, nk.)
Mr Sir1 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 1,749 Reaction score 7,945 Oct 9, 2022 #3 Kichwani kwake, maana kila wiki anaweka nywele mpya.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 9, 2022 #5 Ngoja waje kutoa shuhuda...