Matengenezo matatu ya magari ambayo kila mwenye gari anapaswa kujua

BuDDaH MBiSHi

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2021
Posts
468
Reaction score
495
Kila mtu mwenye gari hafurahii akiwa barabarani na kutambua kwamba gari haliko sawa. Inakuwa mbaya zaidi ukiwa huna hakika kwamba tatizo ni nini.

preview_16412.jpg

Ila, matatizo ya yanayotokea huwa yana husisha vitu vitatu. Na bahati nzuri, huhitaji kuwa mtaalam wa magari kuzitengeneza.

1. Betri Iliyokwisha
Gari yako ikikataa kuwaka, kuna uwezekano mkubwa kwamba betri imekufa. Kuna sababu nyingi ya hii kutokea, zikiwemo:

  • Uliacha taa zikiwaka kwa muda mrefu
  • Nguvu ya betri haiendani na nguvu gari
  • Betri imeingia maji
  • Betri ni ya muda mrefu na imechoka
Licha ya sababu, unaweza kuwasha gari lako kwa muda mdogo kwa kufanya yafuatayo:
  • Tafuta gari lingine
  • Zime magari yote mawili
  • Fungua boneti
  • Angalia betri ilipo
  • Angalia sehemu za kukonekti nyaya
  • Toa nyaya zako za kubusti gari
  • Ambatisha upande mwekundu (positive) kwenye terminal ya positive ya betri. Ambatisha upande nyeusi/bluu (negative) kwenye terminal ya negative ya betri.
  • Washa gari la pili kwa daka 5
  • Washa gari lililo kataa kuwakaka. Ikiwaka, iache kwa daka 5
  • Toa nyaya za kubusti.
  • Endesha gari lako na kama tatizo hii itatokea tena, tembelea duka la betri ili ununue betri mpya.
2. Fyuzi Iliyoungua
Ukikuta kwamba redio, indiketa au kifaa kingine linalotumia umeme haiwaki, kunauwezekano mkubwa kwamba fyuzi imeungua. Bahati nzuri tatizo linaweza kushughulikiwa haraka:

  • Fungua boneti, utakuwa boksi ya fyuzi kwenye bay ya injini au steering wheel. Kama huioni, itafute kwenye mwongozo ya gari.
  • Toa funiko ya boksi ya fyuzi. Utaona namba tofauti na rangi kuonyesha nguvu ya kila fyuzi.
  • Tafuta alafu toa fyuzi iliyoungua
  • Unapaswa kuwa na fyuzi ya akiba kwenye gari lako. Kama huna jaribu yafuatayo:
    • Kutumia fyuzi nyingine ya nguvu hiyohiyo kutoka kwenye sehemu nyinge ya gari (kwa mfano redio), au
    • Iache gari yako mpaka utakapo kwenda gereji au kwenye duka la spea za magari ambapo unaweza kununua fyuzi unayohitaji.
  • Jaribu kuwasha gari yako kuona kama tatizo limetatuliwa.
  • Kama fyuzi ikiungua tena, ipele kwa fundi wako.
3. Pancha:
Gari yako itapata pancha mara moja au nyingine. Bahati nzuri, sio tatizo kubwa na wala haihitaji fundi.

  • Washa taa zako za dharura alafu paki gari lako kwenye eneo yenye usalama.
  • Toa vifaa vifuatayo:
    • Jeki
    • Bisibisi
    • Lug Wrench (ya kufungua tairi)
  • Toa tairi yako ya spea kutoka kwenye buti.
  • Tumia Lug Wrench kufungua gurudumu za tairi yenye pancha
  • Weka jeki chini ya gari alafu anza kuipandisha
  • Fungua tairi
  • Weka tairi ya spea alafu hakikisha unaikaza sana
  • Shusha jeki
  • Tumia lug wrench kukaza gurudumu za matairi zaidi
  • Rudisha kila kitu kwenye gari na endelea na safari yako.
Kuna wauzaji wengi wa matairi mazuri kwa ajili ya aina mbalimbali za magari.

Unaweza
Kujifunza kuhusu gari yako na namna gani ya kufanya matengenezo madogomadogo ni muhimu sana. Kwanza hakikisha spea zote za magari unazo. Hii itakusaidia kujiamini zaidi barabarani na pia itakuokolea muda na gharama ukipata tatizo lingine ndogo.
 
Kila mtu mwenye gari hafurahii akiwa barabarani na kutambua kwamba gari haliko sawa. Inakuwa mbaya zaidi ukiwa huna hakika kwamba tatizo ni nini.
View attachment 1701376

Unaweza!

Kujifunza kuhusu gari yako na namna gani ya kufanya matengenezo madogomadogo ni muhimu sana. Kwanza hakikisha spea zote za magari unazo. Hii itakusaidia kujiamini zaidi barabarani na pia itakuokolea muda na gharama ukipata tatizo lingine ndogo.
Ahsante sana mkuu endelea kutupatia Hints muhimu kama hizi hata sie tusio nayo tujifunze siku tukiwanayo tujue pa kuanzia.
 
Hadi nikinunua gari nitakuwa fundi oriented
Hili ndo lengo la Manufacturers wengi wanataka wamiliki wa magari wawe wanayafaham magari yao kwa kiasi kikubwa iliyasiwe mizigo kwao na kwa Technicians pia. Yani unapompelekea fundi gari yako tayari unakua umeshatambua au kuhisia tatizo ni nini katika gari yako, na pia kwa yale matatizo madogo Mmiliki wa gari anaweza kuyamaliza mwenyewe nyumbani bila uhitaji wa fundi.
 
Gari yangu ghafla haioneshi parking gear kwenye dashboard. Na hata nikijaribu kuwasha gari ikiwa kwenye parking inakataa mpaka nipeleke kwenye neutral ndio inawaka. Wakuu dhahama hii namna gani hapa?
 
Gari kutowaka husababishwa na hitilafu kwenye betri za gari, spark plugs, car starter au pampu ya mafuta.
Sasa kwa issue ya gari yako ambalo linawaka likiwa kwenye Neutral na sio kwenye Parking, basi hapo neutral safety switch inaweza kuwa na tatizo.
 
Kila mtu mwenye gari hafurahii akiwa barabarani na kutambua kwamba gari haliko sawa. Inakuwa mbaya zaidi ukiwa huna hakika kwamba tatizo ni nini.

Ila, matatizo ya yanayotokea huwa yana husisha vitu vitatu. Na bahati nzuri, huhitaji kuwa mtaalam wa magari kuzitengeneza.

1. Betri Iliyokwisha
Gari yako ikikataa kuwaka, kuna uwezekano mkubwa kwamba betri imekufa. Kuna sababu nyingi ya hii kutokea, zikiwemo:

  • Uliacha taa zikiwaka kwa muda mrefu
  • Nguvu ya betri haiendani na nguvu gari
  • Betri imeingia maji
  • Betri ni ya muda mrefu na imechoka
Licha ya sababu, unaweza kuwasha gari lako kwa muda mdogo kwa kufanya yafuatayo:
  • Tafuta gari lingine
  • Zime magari yote mawili
  • Fungua boneti
  • Angalia betri ilipo
  • Angalia sehemu za kukonekti nyaya
  • Toa nyaya zako za kubusti gari
  • Ambatisha upande mwekundu (positive) kwenye terminal ya positive ya betri. Ambatisha upande nyeusi/bluu (negative) kwenye terminal ya negative ya betri.
  • Washa gari la pili kwa daka 5
  • Washa gari lililo kataa kuwakaka. Ikiwaka, iache kwa daka 5
  • Toa nyaya za kubusti.
  • Endesha gari lako na kama tatizo hii itatokea tena, tembelea duka la betri ili ununue betri mpya.
2. Fyuzi Iliyoungua
Ukikuta kwamba redio, indiketa au kifaa kingine linalotumia umeme haiwaki, kunauwezekano mkubwa kwamba fyuzi imeungua. Bahati nzuri tatizo linaweza kushughulikiwa haraka:

  • Fungua boneti, utakuwa boksi ya fyuzi kwenye bay ya injini au steering wheel. Kama huioni, itafute kwenye mwongozo ya gari.
  • Toa funiko ya boksi ya fyuzi. Utaona namba tofauti na rangi kuonyesha nguvu ya kila fyuzi.
  • Tafuta alafu toa fyuzi iliyoungua
  • Unapaswa kuwa na fyuzi ya akiba kwenye gari lako. Kama huna jaribu yafuatayo:
    • Kutumia fyuzi nyingine ya nguvu hiyohiyo kutoka kwenye sehemu nyinge ya gari (kwa mfano redio), au
    • Iache gari yako mpaka utakapo kwenda gereji au kwenye duka la spea za magari ambapo unaweza kununua fyuzi unayohitaji.
  • Jaribu kuwasha gari yako kuona kama tatizo limetatuliwa.
  • Kama fyuzi ikiungua tena, ipele kwa fundi wako.
3. Pancha:
Gari yako itapata pancha mara moja au nyingine. Bahati nzuri, sio tatizo kubwa na wala haihitaji fundi.

  • Washa taa zako za dharura alafu paki gari lako kwenye eneo yenye usalama.
  • Toa vifaa vifuatayo:
    • Jeki
    • Bisibisi
    • Lug Wrench (ya kufungua tairi)
  • Toa tairi yako ya spea kutoka kwenye buti.
  • Tumia Lug Wrench kufungua gurudumu za tairi yenye pancha
  • Weka jeki chini ya gari alafu anza kuipandisha
  • Fungua tairi
  • Weka tairi ya spea alafu hakikisha unaikaza sana
  • Shusha jeki
  • Tumia lug wrench kukaza gurudumu za matairi zaidi
  • Rudisha kila kitu kwenye gari na endelea na safari yako.
Kuna wauzaji wengi wa matairi mazuri kwa ajili ya aina mbalimbali za magari.

Unaweza
Kujifunza kuhusu gari yako na namna gani ya kufanya matengenezo madogomadogo ni muhimu sana. Kwanza hakikisha spea zote za magari unazo. Hii itakusaidia kujiamini zaidi barabarani na pia itakuokolea muda na gharama ukipata tatizo lingine ndogo.
Sina gari ila nikipewa lift mwenye gari tamsaidia,🚶🚶
 
Back
Top Bottom