Material hizi zimepitwa na wakati

Old is gold .. Tutakuja kurudi huko
Na huo ndiyo ukweli.

Ukiangalia kama material ya ceiling board, hakuna yanayo pita TNG , iwe kwa muonekano au uimara.

Kwenye sakafu , kulikua nakitu (tarazo)

Hii kitu ilikua inadumu na mungao wake.

Hakuna siku niliyo sikitika kama siku niliyo Kuta Ofisi ya RC Arusha ,wanaweka tires juu yatarazo.

Sina hakika kama hii kitu Bado Kuna mafundi wake.
 
Hivyo vyote mnavosema vyakisasa mkumbuke mafundi wengi hawavitumii kwausahihi wengi wanajuta
 
mkuu umesahau nyumba za kupauwa paa kwenda juu sikuizi fashion ni kufulicha bati kwa ndani wao wanaita contemporary.. [emoji3062][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ila usalama ungekuwa mzuri, unaweka fensi ya waya tu (senyenge) inapendeza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…