Mateso anayonipa jini mahaba



Kuota unafanya mapenzi hii ni kutokana hupati wasichana,kuchukiwa sababu hauna kitu,washikaji kukudharau hope ni sababu ya unavyojiweka kianzia mavazi na fikra zako kuona wanakudharau. Ushauri wangu
*Fanya ibada
*Kua positive kwa kila mtu
*Pambana kulipa madeni yote na uanze kusave kidogo kidogo
*Vaa vizuri,kula vizuri na ufanye mazoezi ili kuondokana na hio hali ya dharau hasa kama una umbo dogo.
 
nipe tips mkuu chumvi ninayo home
Utapigishwa nyeto mpaka uelewe hivyo vimama na vibibi unavyopishana navyo mchana usiku vinakuja kukupigisha nyeto ndio mnaviita jini mahaba?
 
hii ni kutokana hupati wasichana
Mwambie kabisa mwili wa mwanaume ulivyoumbwa hauwezi kukaa miezi 4/5 yaan siku zaidi ya 100 bila kutoa manii hilo inabidi alielewe kabla ya yote kwa hio km hujatoa manii kupitia msichana au mwanamke basi mwili utakusaidia kuyatoa hayo manii mwilini ili kupunguza ujazo, hapo nadhani nitakua nimetoa ufafanuzi vizuri, hata ukifanya no fap challenge before hujafika siku 100 kitu lazima kimwagwe nje kwanza
 
Jaribu kuangalia sana matumizi yako ya fedha ukipata fedha unakuaje ukikosa fedha unakuaje hili suala ni la kujichunguza watafute unao waamini wakupe ushauri wa kifedha kingine jitahidi usome neno la Mungu usiache kujifunza vitu vipya jifunze fursa nyingi
 
Hata sielewi, labda wenzangu. Mimi wa D moja nimepita kapa.
 
Asante mkuu
 
Huyo jini mahaba wako mpige kinyume na maumbile ili aachane na wewe.
Wanaogopa sana kugeuzwa hao viumbe.
 
Wewe kila mtu unamkubaria ungekua mwanamke sasa hivi ungekua single mother shukuru umezaliwa mwanaume
we jamaa tangu mwanzo naona umejaa negative sana mimi mtu akinipa ushauri wowote nashukuru ila mimi ndio nachuja kipi nichukue naheshimu ushauri wowote angalia majibu yako tangu mwanzo wa Uzi..
 
uko sawa mkuu ukiwa Kwa Hali ya kawaida huo ushauri 100% unafanya kazi lkn mi kwangu ni tatizo la kiroho natamn sana hata ungeniona hata Kwa mwonekano hivyo vyote nafanya Kwa hapo nadhani Kwa ibada ndio naweza kuwa nimefeli maana ratiba ya jumapili nakuwa kazin so nashindwa kwenda kazn.
 
Duuuh pole sana. Piga sana ibada na muda wote uwe msafi wa roho,mwili na matendo
 
a
Duuuh pole sana. Piga sana ibada na muda wote uwe msafi wa roho,mwili na matendo
asanteh mkuu napitia kipindi kigumu sana mengine huwezi kuandika hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…