Mateso anayonipa jini mahaba

Mateso anayonipa jini mahaba

usiku ukilala ndoto nyingi unaota unafanya mapenzi ukitafta demu anaweza kukuchukia tu baada ya mda mfupi au ukihiitaki kuwa nae pesa kwako inakuwa changamoto na ukitoka nae nguvu za kiume zinapungua mambo ya kiuchumi kwako yanayumba pesa haikaliki kuchukukiwa bila sababu kwa mwanaume baadhi nasikia yanawafanya wapende ushoga na wanawake wanaishia kusagana aisee hayo madude ombi yasikikute Kuna mda unaweza kutamani hata kujiua fikiria huna mwanamke Wala mtt lkn una madeni ambayo hayaishi na ukiangalia huna Cha maana una miliki pia Huwa yanafanya mtu udharaulike yaani unaweza kwenda sehem ukaona kabsa huyu jamaa au hawajamaa wameshanitoa point 3 Kwa kukuangalia tu...nimehangaika sana kuhusu hii ial

usiku ukilala ndoto nyingi unaota unafanya mapenzi ukitafta demu anaweza kukuchukia tu baada ya mda mfupi au ukihiitaki kuwa nae pesa kwako inakuwa changamoto na ukitoka nae nguvu za kiume zinapungua mambo ya kiuchumi kwako yanayumba pesa haikaliki kuchukukiwa bila sababu kwa mwanaume baadhi nasikia yanawafanya wapende ushoga na wanawake wanaishia kusagana aisee hayo madude ombi yasikikute Kuna mda unaweza kutamani hata kujiua fikiria huna mwanamke Wala mtt lkn una madeni ambayo hayaishi na ukiangalia huna Cha maana una miliki pia Huwa yanafanya mtu udharaulike yaani unaweza kwenda sehem ukaona kabsa huyu jamaa au hawajamaa wameshanitoa point 3 Kwa kukuangalia tu...nimehangaika sana kuhusu hii i

usiku ukilala ndoto nyingi unaota unafanya mapenzi ukitafta demu anaweza kukuchukia tu baada ya mda mfupi au ukihiitaki kuwa nae pesa kwako inakuwa changamoto na ukitoka nae nguvu za kiume zinapungua mambo ya kiuchumi kwako yanayumba pesa haikaliki kuchukukiwa bila sababu kwa mwanaume baadhi nasikia yanawafanya wapende ushoga na wanawake wanaishia kusagana aisee hayo madude ombi yasikikute Kuna mda unaweza kutamani hata kujiua fikiria huna mwanamke Wala mtt lkn una madeni ambayo hayaishi na ukiangalia huna Cha maana una miliki pia Huwa yanafanya mtu udharaulike yaani unaweza kwenda sehem ukaona kabsa huyu jamaa au hawajamaa wameshanitoa point 3 Kwa kukuangalia tu...nimehangaika sana kuhusu hii issue.
Kuota unafanya mapenzi hii ni kutokana hupati wasichana,kuchukiwa sababu hauna kitu,washikaji kukudharau hope ni sababu ya unavyojiweka kianzia mavazi na fikra zako kuona wanakudharau. Ushauri wangu
*Fanya ibada
*Kua positive kwa kila mtu
*Pambana kulipa madeni yote na uanze kusave kidogo kidogo
*Vaa vizuri,kula vizuri na ufanye mazoezi ili kuondokana na hio hali ya dharau hasa kama una umbo dogo.
 
hii ni kutokana hupati wasichana
Mwambie kabisa mwili wa mwanaume ulivyoumbwa hauwezi kukaa miezi 4/5 yaan siku zaidi ya 100 bila kutoa manii hilo inabidi alielewe kabla ya yote kwa hio km hujatoa manii kupitia msichana au mwanamke basi mwili utakusaidia kuyatoa hayo manii mwilini ili kupunguza ujazo, hapo nadhani nitakua nimetoa ufafanuzi vizuri, hata ukifanya no fap challenge before hujafika siku 100 kitu lazima kimwagwe nje kwanza
 
Jaribu kuangalia sana matumizi yako ya fedha ukipata fedha unakuaje ukikosa fedha unakuaje hili suala ni la kujichunguza watafute unao waamini wakupe ushauri wa kifedha kingine jitahidi usome neno la Mungu usiache kujifunza vitu vipya jifunze fursa nyingi
 
Kwema?

Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika

Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia

Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego nimechoka.

Pia soma
- Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?
Hata sielewi, labda wenzangu. Mimi wa D moja nimepita kapa.
 
Jaribu kuangalia sana matumizi yako ya fedha ukipata fedha unakuaje ukikosa fedha unakuaje hili suala ni la kujichunguza watafute unao waamini wakupe ushauri wa kifedha kingine jitahidi usome neno la Mungu usiache kujifunza vitu vipya jifunze fursa nyingi
Asante mkuu
 
Huyo jini mahaba wako mpige kinyume na maumbile ili aachane na wewe.
Wanaogopa sana kugeuzwa hao viumbe.
 
Wewe kila mtu unamkubaria ungekua mwanamke sasa hivi ungekua single mother shukuru umezaliwa mwanaume
we jamaa tangu mwanzo naona umejaa negative sana mimi mtu akinipa ushauri wowote nashukuru ila mimi ndio nachuja kipi nichukue naheshimu ushauri wowote angalia majibu yako tangu mwanzo wa Uzi..
 
Kuota unafanya mapenzi hii ni kutokana hupati wasichana,kuchukiwa sababu hauna kitu,washikaji kukudharau hope ni sababu ya unavyojiweka kianzia mavazi na fikra zako kuona wanakudharau. Ushauri wangu
*Fanya ibada
*Kua positive kwa kila mtu
*Pambana kulipa madeni yote na uanze kusave kidogo kidogo
*Vaa vizuri,kula vizuri na ufanye mazoezi ili kuondokana na hio hali ya dharau hasa kama una umbo dogo.
uko sawa mkuu ukiwa Kwa Hali ya kawaida huo ushauri 100% unafanya kazi lkn mi kwangu ni tatizo la kiroho natamn sana hata ungeniona hata Kwa mwonekano hivyo vyote nafanya Kwa hapo nadhani Kwa ibada ndio naweza kuwa nimefeli maana ratiba ya jumapili nakuwa kazin so nashindwa kwenda kazn.
 
Duuuh pole sana. Piga sana ibada na muda wote uwe msafi wa roho,mwili na matendo
 
a
Duuuh pole sana. Piga sana ibada na muda wote uwe msafi wa roho,mwili na matendo
asanteh mkuu napitia kipindi kigumu sana mengine huwezi kuandika hapa
 
Back
Top Bottom