zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Una majini yanakupigizha nyeto usiku?Huu upumbavu hii nchi utaisha lini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una majini yanakupigizha nyeto usiku?Huu upumbavu hii nchi utaisha lini ?
usiku ukilala ndoto nyingi unaota unafanya mapenzi ukitafta demu anaweza kukuchukia tu baada ya mda mfupi au ukihiitaki kuwa nae pesa kwako inakuwa changamoto na ukitoka nae nguvu za kiume zinapungua mambo ya kiuchumi kwako yanayumba pesa haikaliki kuchukukiwa bila sababu kwa mwanaume baadhi nasikia yanawafanya wapende ushoga na wanawake wanaishia kusagana aisee hayo madude ombi yasikikute Kuna mda unaweza kutamani hata kujiua fikiria huna mwanamke Wala mtt lkn una madeni ambayo hayaishi na ukiangalia huna Cha maana una miliki pia Huwa yanafanya mtu udharaulike yaani unaweza kwenda sehem ukaona kabsa huyu jamaa au hawajamaa wameshanitoa point 3 Kwa kukuangalia tu...nimehangaika sana kuhusu hii ial
usiku ukilala ndoto nyingi unaota unafanya mapenzi ukitafta demu anaweza kukuchukia tu baada ya mda mfupi au ukihiitaki kuwa nae pesa kwako inakuwa changamoto na ukitoka nae nguvu za kiume zinapungua mambo ya kiuchumi kwako yanayumba pesa haikaliki kuchukukiwa bila sababu kwa mwanaume baadhi nasikia yanawafanya wapende ushoga na wanawake wanaishia kusagana aisee hayo madude ombi yasikikute Kuna mda unaweza kutamani hata kujiua fikiria huna mwanamke Wala mtt lkn una madeni ambayo hayaishi na ukiangalia huna Cha maana una miliki pia Huwa yanafanya mtu udharaulike yaani unaweza kwenda sehem ukaona kabsa huyu jamaa au hawajamaa wameshanitoa point 3 Kwa kukuangalia tu...nimehangaika sana kuhusu hii i
Kuota unafanya mapenzi hii ni kutokana hupati wasichana,kuchukiwa sababu hauna kitu,washikaji kukudharau hope ni sababu ya unavyojiweka kianzia mavazi na fikra zako kuona wanakudharau. Ushauri wanguusiku ukilala ndoto nyingi unaota unafanya mapenzi ukitafta demu anaweza kukuchukia tu baada ya mda mfupi au ukihiitaki kuwa nae pesa kwako inakuwa changamoto na ukitoka nae nguvu za kiume zinapungua mambo ya kiuchumi kwako yanayumba pesa haikaliki kuchukukiwa bila sababu kwa mwanaume baadhi nasikia yanawafanya wapende ushoga na wanawake wanaishia kusagana aisee hayo madude ombi yasikikute Kuna mda unaweza kutamani hata kujiua fikiria huna mwanamke Wala mtt lkn una madeni ambayo hayaishi na ukiangalia huna Cha maana una miliki pia Huwa yanafanya mtu udharaulike yaani unaweza kwenda sehem ukaona kabsa huyu jamaa au hawajamaa wameshanitoa point 3 Kwa kukuangalia tu...nimehangaika sana kuhusu hii issue.
Utapigishwa nyeto mpaka uelewe hivyo vimama na vibibi unavyopishana navyo mchana usiku vinakuja kukupigisha nyeto ndio mnaviita jini mahaba?nipe tips mkuu chumvi ninayo home
Mwambie kabisa mwili wa mwanaume ulivyoumbwa hauwezi kukaa miezi 4/5 yaan siku zaidi ya 100 bila kutoa manii hilo inabidi alielewe kabla ya yote kwa hio km hujatoa manii kupitia msichana au mwanamke basi mwili utakusaidia kuyatoa hayo manii mwilini ili kupunguza ujazo, hapo nadhani nitakua nimetoa ufafanuzi vizuri, hata ukifanya no fap challenge before hujafika siku 100 kitu lazima kimwagwe nje kwanzahii ni kutokana hupati wasichana
Wewe kila mtu unamkubaria ungekua mwanamke sasa hivi ungekua single mother shukuru umezaliwa mwanaumeNiko tayr mkuu
Hata sielewi, labda wenzangu. Mimi wa D moja nimepita kapa.Kwema?
Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika
Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia
Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego nimechoka.
Pia soma
- Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?
Asante mkuuJaribu kuangalia sana matumizi yako ya fedha ukipata fedha unakuaje ukikosa fedha unakuaje hili suala ni la kujichunguza watafute unao waamini wakupe ushauri wa kifedha kingine jitahidi usome neno la Mungu usiache kujifunza vitu vipya jifunze fursa nyingi
we jamaa tangu mwanzo naona umejaa negative sana mimi mtu akinipa ushauri wowote nashukuru ila mimi ndio nachuja kipi nichukue naheshimu ushauri wowote angalia majibu yako tangu mwanzo wa Uzi..Wewe kila mtu unamkubaria ungekua mwanamke sasa hivi ungekua single mother shukuru umezaliwa mwanaume
uko sawa mkuu ukiwa Kwa Hali ya kawaida huo ushauri 100% unafanya kazi lkn mi kwangu ni tatizo la kiroho natamn sana hata ungeniona hata Kwa mwonekano hivyo vyote nafanya Kwa hapo nadhani Kwa ibada ndio naweza kuwa nimefeli maana ratiba ya jumapili nakuwa kazin so nashindwa kwenda kazn.Kuota unafanya mapenzi hii ni kutokana hupati wasichana,kuchukiwa sababu hauna kitu,washikaji kukudharau hope ni sababu ya unavyojiweka kianzia mavazi na fikra zako kuona wanakudharau. Ushauri wangu
*Fanya ibada
*Kua positive kwa kila mtu
*Pambana kulipa madeni yote na uanze kusave kidogo kidogo
*Vaa vizuri,kula vizuri na ufanye mazoezi ili kuondokana na hio hali ya dharau hasa kama una umbo dogo.
Duuuh pole sana. Piga sana ibada na muda wote uwe msafi wa roho,mwili na matendouko sawa mkuu ukiwa Kwa Hali ya kawaida huo ushauri 100% unafanya kazi lkn mi kwangu ni tatizo la kiroho natamn sana hata ungeniona hata Kwa mwonekano hivyo vyote nafanya Kwa hapo nadhani Kwa ibada ndio naweza kuwa nimefeli maana ratiba ya jumapili nakuwa kazin so nashindwa kwenda kazn.