Mateso anayonipa jini mahaba

Kwanini majini mahaba yanakuandameni sana waswahilina ambao muda mwingi mnautumia kwenye viambaza vya nyumba zenu? Hususan kanda ya pwani
 
Mwenzenu ana matatizo baadhi yenu badala ya kutafuta namna ya kumsaidia mna mkashifu

Hayo mambo yapo na yanawatesa Sana watu tena Sana na sababu kubwa ya kuwafanya watu wateseke na waangamie ni kwasababu jamii imelifumbia macho suala Hilo Kwa kuamini kuwa hayo mambo hakuna Matokeo Yake baadhi ya watu wenye hayo matatizo wanaishi Kwa kuteseka mpaka mauti yanapo wafika bila ya kupata ufumbuzi

Duniani viumbe wenye nguvu na mamlaka makubwa / viumbe intelligence hatuko binaadamu peke yetu , Hii dunia inatisha Sana tena Sana inaogopesha kuna ulimwengu wa Siri Wa Siri unaotawaliwa na hayo madubwasha (Majini/ Mizimu) huo ulimwengu unatesa Sana watu usiombe itokee uwe umezaliwa katika ukoo ambao Una connection na hayo mambo ,Inatisha

Ni Bora kama mtu hujui kitu kukaa kimya na kuto toa comment yoyote ya kum-bully mtu kaa kimya na uwape nafasi watu wenye uzoefu na mambo hayo watoe testimony zao , Nimesoma baadhi ya comment za watu ambazo zina michango negative nimeshangaa Sana ,
 
Tupe uzi basi tuone hilikuaje
Wengine tuna ndugu humu huwa wanapita pita Ila Ipo siku nikitulia nitawapa mkanda mzima ,

Mimi naishi nahiyo Hali ilinitesa Sana tena Sana but nilikuja nikapata utatuzi now naishi nao vizuri tu ,

Na walinipa mifumo yao namna ya kufanya na kuishi nao and I'm getting money
 
Sio kweli bhana
 
eleza sasa ulipoanje mkuu.
 
eleza sasa ulipoanje mkuu.
Ni story ndefu ndugu , Mimi natokea katika ukoo wenye chain ya hayo mambo

Ila nilikubaliana na Huyo kiumbe na kuamua kuishi nae Ndio Nikasalimika

But kabla ya kukubaliana nae nilikutanishwa na watu wajuzi wa hayo mambo waka mkagua kwanza ili kupata kujua kama ni mzuri Au ni mbaya , Walipo mjua kuwa ni mzuri nikashauriwa nikubaliane nae kufanya anavyotaka

Waliniambia endapo nikikataa kuna hatari ya huyo kiumbe kuniua

Maana hapo kabla Alikuwa ananitokea na kunipa matukio mazito mazito yakutisha

Anapiga wanawake Ana wasababishia ajali ana nisababishia ajali mpaka Mimi mwenyewe kuna mwanamke niliwahi kulala nae usiku wa manane akapata kichaa ( kisa alikuwa amelewa )

Niliwahi kwenda barbershop kufanyiwa scrub mwanamke aliyekuwa ana nifanyia scrub akadondoka akazimia kuna siku nilikuwa naenda lodge na mwanamke Nika kamatwa na police wakachukua pesa zote and by that time wakati natokewa na hayo madrama nilikuwa sijui sababu ni nini na ni-matukio ambayo yalikuwa Yana mlolongo wa kufuatana yaani nilikuwa kama Nina andamwa na mikosi mikubwa Sana

So nilikuja kujuaje juaje kuwa ni jini mahaba πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰ Baada ya hayo madrama akaanza kujitokeza na kuniambia kuwa Anataka nimuoe hapo ndipo palipo kuwa na balaa, Akaanza kuniambia pesa zote ulizokuwa unapata haukuwa ujanja wako ni Mimi ndiye niliyekuwa Nina kupa sasa kama hautaki subiri uone nitakavyo kufilisi

Nikapuuza nikaona kama mazingaombwe tu Na ujinga maana hata mimi pia nilikuwa siamini katika hayo mambo kwanza nilikuwaga ninadhani kwamba ni story za vijiweni na magazetini tu

Basi bwana - Baada ya miezi kama miwili nikaanza kuandamwa na mikosi biashara zikaanza kuyumba vibaya Sana nikawa Nina filisika mpaka nikaanza kuuza vitu vyangu vya ndani ( Hiyo nimekupa Tu ni intro ) 😁😁😁😁🀣🀣

Yaani ni full drama tu inatisha ,
 
Majini yapo na yapo active vibaya Sana ni very intellence creature binafsi siamini ktika Imani za ukristo wala uislam but naamini kuwa majini yapo na Yana hela Sana kufuru
Majini hayana hela usitupige kamba wewe jini gani na una hela kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…