mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Tafuta wazee wa Surat al Jin wamrudishe nyumbani.
InategemeaChumvi ya mawe ile acha nisiseme mengi ila ogea chumvi ya mawe huku ukinuia aondoke katika maisha yako baasi mengine utapigwa kibunda tu
💯Hivi ni kweli kuna majini?
Naunga mkono hojaSIMPLE.. Achana na jini mahaba
Umewakutana nalo? Umewahu kuliona labda
Majini yapo na yapo active vibaya Sana ni very intellence creature binafsi siamini ktika Imani za ukristo wala uislam but naamini kuwa majini yapo na Yana hela Sana kufuru
Kwanini majini mahaba yanakuandameni sana waswahilina ambao muda mwingi mnautumia kwenye viambaza vya nyumba zenu? Hususan kanda ya pwaniKwema.
Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika
Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia
Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego nimechoka.
Pia soma
- Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?
Mimi ni muhanga wa hayo mambo nime survive na Leo nipo salama inatishaUmewakutana nalo? Umewahu kuliona labda
Tupe uzi basi tuone hilikuajeMimi ni muhanga wa hayo mambo nime survive na Leo nipo salama inatisha
Wengine tuna ndugu humu huwa wanapita pita Ila Ipo siku nikitulia nitawapa mkanda mzima ,Tupe uzi basi tuone hilikuaje
Sio kweli bhanaJini mahaba anasababishwa na upigaji punyeto wa muda mrefu ata hivyo majini wanamilikiwa na wachawi ndio ambayo huyatuma kwako kuja kubeba nyota yako ni vyema kabla ya kulala ufanya sala na Dua kukemea hayo mapepo wabaya kwa damu ya Yesu pia aamke usiku kufanya maombi kama yatakuja yakuja yatashindwa kufanya jambo hilo
Nini huwa kinatokea mtu mpaka anaingiliwa na majini haya?
Jini mahaba huwa anatumia sura ya mwanamke mzuri sana akiwa na umbo la kuvutia anamsogelea mtu aliyelala huku akiwa uchi kwa hitaji la kufanya ngono
😁😁😁😁 Una achana nae Vipi sasa !?SIMPLE.. Achana na jini mahaba
Unaishi wapi !?nilimtafta mtumishi wa mungu akanipa hayo maelezo
eleza sasa ulipoanje mkuu.Mwenzenu ana matatizo baadhi yenu badala ya kutafuta namna ya kumsaidia mna mkashifu
Hayo mambo yapo na yanawatesa Sana watu tena Sana na sababu kubwa ya kuwafanya watu wateseke na waangamie ni kwasababu jamii imelifumbia macho suala Hilo Kwa kuamini kuwa hayo mambo hakuna Matokeo Yake baadhi ya watu wenye hayo matatizo wanaishi Kwa kuteseka mpaka mauti yanapo wafika bila ya kupata ufumbuzi
Duniani viumbe wenye nguvu na mamlaka makubwa / viumbe intelligence hatuko binaadamu peke yetu , Hii dunia inatisha Sana tena Sana inaogopesha kuna ulimwengu wa Siri Wa Siri unaotawaliwa na hayo madubwasha (Majini/ Mizimu) huo ulimwengu unatesa Sana watu usiombe itokee uwe umezaliwa katika ukoo ambao Una connection na hayo mambo ,Inatisha
Ni Bora kama mtu hujui kitu kukaa kimya na kuto toa comment yoyote ya kum-bully mtu kaa kimya na uwape nafasi watu wenye uzoefu na mambo hayo watoe testimony zao , Nimesoma baadhi ya comment za watu ambazo zina michango negative nimeshangaa Sana ,
Ni story ndefu ndugu , Mimi natokea katika ukoo wenye chain ya hayo mamboeleza sasa ulipoanje mkuu.
Majini hayana hela usitupige kamba wewe jini gani na una hela kiasi gani?Majini yapo na yapo active vibaya Sana ni very intellence creature binafsi siamini ktika Imani za ukristo wala uislam but naamini kuwa majini yapo na Yana hela Sana kufuru