comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Wewe Baki na unachokiamini, kwahyo niachie kufanya kazi zangu nibaki hapa kukuaminisha? Wewe Baki na unachoamini, hicho hicho unachoamini NI sawa kutokana na mitazamo yakoBabu babu babu nimekuita mara tatu wewe toa hizo sababu kwani unawahi wapi? Si uelezee sababu mboni unasema tena huwezi kuziweka hapa unataka ukaziweke wapi na umekuja hapa? Weka hapa hizo sababu moja baada ya nyingine
Sina mda tuishie hapo, nipo job, amini unachoamini mengne utayajua ukishakua utakutana na mambo mengiBabu ndio uelezee hio kazi nyingine ni ipi au ni zipi mboni mnafichaficha? Elezea vizuri hizo kazi nyingine ni zipi dafadua moja kwa nyingine vizuri kwa utulivu kabisa
Umesema sababu moja ni kutembelea miti asubuhi watakuvaa, ukasema sababu ya pili ni kutembelea miti mikubwa na kuikojolea sawa Mimi nakuongezea ya tatu wakasema usikae kwenye kivuli cha jua kali maana ndio hapo nao hupenda kukaa, haya ongezea sababu zingine sasaWewe Baki na unachokiamini, kwahyo niachie kufanya kazi zangu nibaki hapa kukuaminisha? Wewe Baki na unachoamini, hicho hicho unachoamini NI sawa kutokana na mitazamo yako
Inafanya kama nilivoeleza, unajilaza chali kwenye coach/kitanda then utaanza kuvuta na kupumua haraka kwa nusu saa au zaidi, fanya kutwa mara 2 au 3 daily.Hii inafanyaje kazi
Ukiwa unaendelea na job tuongezee na sababu zingine, kwanini majini hayapendi baadhi ya harufu na kwanini yanapenda baadhi ya harufu hapa nazungumzia manukato yaan kuna manukato ukijipakaa basi jiandae jamaa ni km unawakaribisha kwa kuwafungulia mlango? Nimesoma kwenye makala sio maelezo yangu binafsi ni kwa mujibu wa wanaosema hivyoSina mda tuishie hapo, nipo job, amini unachoamini mengne utayajua ukishakua utakutana na mambo mengi
Kazi zikipungua ongezea maarifa kwa kusoma na hiiSina mda tuishie hapo, nipo job, amini unachoamini mengne utayajua ukishakua utakutana na mambo mengi
Poa poa mkuuInafanya kama nilivoeleza, unajilaza chali kwenye coach/kitanda then utaanza kuvuta na kupumua haraka kwa nusu saa au zaidi, fanya kutwa mara 2 au 3 daily.
Inafanya kazi hivyo hivyo kwenye respiratory system ni lazima upumueHii inafanyaje kazi
Kama kweli unataka ufunguliwe, dhamiria kwa moo wako wote kumpa Yesu maisha yako. Tafuta mahali penye utulivu piga magoti na umwombe Mungu sala hii a toba kwa kumaanisha kabisa: BWANA YESU NAJA KWAKO, MIMI NI MWENYE DHAMBI. NINAOMBA UNISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE NINAZOZIKUMBUKA NA AMBAZO SIZIKUMBUKI, NINAZOZIFAHAMU NA AMBAZO SIZIFAHAMU. TANGU SASA NINAMKATAA SHETANI NA KAZI ZAKE ZOTE. NINAMKUBALI YESU AWE BWANA WANGU NA MWOKOZI WANGU. KARIBU YESU MOYONI MWANGU SASA. ASANTE YESU KWA KUNIOKOA NA NINAOMBA UNIPE NGUVU KWA ROHO WAKO MTAKATIFU ZA KUSHINDA DHAMBI NA NGUVU ZOTE ZA GIZA. NINAOMBA KATIKA JINA LA YESU AMINA.Kwema.
Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika
Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia
Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego nimechoka.
Pia soma
- Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?
Soma uongezwe maarifaMimi ninayaishi hayo maisha Acha ujinga wewe ๐๐
Unaniletea theory wakati Mimi nikitu ambacho Nina kiishi in physical, Wewe kweli Thomaso achana na hizo conspiracy
Soma hii weweHii inafanyaje kazi
Bora ulivyo m-crush ๐๐๐๐Mimi sio mganga WA kienyeji, siwezi kujua sababu lakini naongea kitu nilichokiona, nayeye ALIIPATA hayo mambo tokea akiwa primary school, minaona tuishie hapa maana naona upo kwa aJili ya kubishana ..
Mimi najua uhalisia wewe Baki na unachokiamini
Am out
Ukisema unaongea nao haya soma na hiiMimi ninayaishi hayo maisha Acha ujinga wewe ๐๐
Unaniletea theory wakati Mimi nikitu ambacho Nina kiishi in physical, Wewe kweli Thomaso achana na hizo conspiracy
Babu kizee soma hii acha ubishi huna maelezo ya kutosha kisha unabishabisha si ukae kimya usome tuBora ulivyo m-crush ๐๐๐๐
Hamna mtu humo ๐ฎ๐ฎ
Huna maelezo basi fungua usome upate maarifa maana huna maelezo yaliyoshibaBora ulivyo m-crush ๐๐๐๐
Hamna mtu humo ๐ฎ๐ฎ
Bro hujawah kukutana na watu wa aina hiyo ndio maana, nishawahi kua na mwanamke anayo tena Yule jini mkali kabisa, usiombe yakukute au imkute dada yako, ogopa sana mzee nishakutana na watu wa aina hiyo sio poa kabisa
Haha yeye analeta utoto wakuleta viji- theory vyake wakati Kuna wengine tunaishi katika uhalisia kamili wa hivyo vitu ---- Nimesha kueleza Mimi kiumbe kama Hicho ninacho na ninaishi nacho na Baada ya kuku kubaliana nacho kinavyo taka ndio maisha yangu yametulia now Nina lamba asali maisha matamuMimi siwezi kusoma maana nishakutana nayo hayo mambo na nayajua siwezi kusoma maandishi wakati kitu nilikiishi na mwanamke nliekua nae karibia miaka mitatu, hizo notes soma wewe
Km kweli unaweza kuongea na huyo jinn kiwete wako mtume kwangu si umesema unaongea nae haya piga nae story mwambie anifuate muda huuBora ulivyo m-crush ๐๐๐๐
Hamna mtu humo ๐ฎ๐ฎ
Nikupe maelezo wewe Yanini !? Wewe Ndiye mtoa mada ๐๐๐Huna maelezo basi fungua usome upate maarifa maana huna maelezo yaliyoshiba
What does Islam says about Jinns? - IslamQA
Shortened Question: What does Islam says about Jinns? Question: What does Islam says about Jinns? Are they in our surroundings? Do they interact with humans? Do they create problems for humans? Doislamqa.org
Akufuate ili iweje sasa!? ,๐๐๐Km kweli unaweza kuongea na huyo jinn kiwete wako mtu kwangu si umesema unaongea nae haya piga nae story mwambie anifuate muda huu
Soma
Jinn Possession from an Islamic Perspective - Islam Question & Answer
Jinn possession is proven by the consensus of the imams of Ahl al-Sunnah wal-Jama`ah. If a person who has this sickness is rational, then he has the choice and he will be brought to account for his words and actions. But if this sickness has overwhelmed him to the point that he has lost his...islamqa.info
Huna cha kuelezea umebaki kua mtazamaji mwanzo ulijifanya una cha kuelezea sasa hivi huna cha kuelezea which is which mbwembwe zote kwishaNikupe maelezo wewe Yanini !? Wewe Ndiye mtoa mada ๐๐๐
Kaa Kwa kutulia