Mateso anayonipa jini mahaba

Mateso anayonipa jini mahaba

usiku ukilala ndoto nyingi unaota unafanya mapenzi ukitafta demu anaweza kukuchukia tu baada ya mda mfupi au ukihiitaki kuwa nae pesa kwako inakuwa changamoto na ukitoka nae nguvu za kiume zinapungua mambo ya kiuchumi kwako yanayumba pesa haikaliki kuchukukiwa bila sababu kwa mwanaume baadhi nasikia yanawafanya wapende ushoga na wanawake wanaishia kusagana aisee hayo madude ombi yasikikute Kuna mda unaweza kutamani hata kujiua fikiria huna mwanamke Wala mtt lkn una madeni ambayo hayaishi na ukiangalia huna Cha maana una miliki pia Huwa yanafanya mtu udharaulike yaani unaweza kwenda sehem ukaona kabsa huyu jamaa au hawajamaa wameshanitoa point 3 Kwa kukuangalia tu...nimehangaika sana kuhusu hii issue.
Kama ni mkristo uwe una soma biblia kitabu cha
Zaburi 91:1-7 na
Isaya 54-14-17
soma ulishike neno hilo kila siku unapoingia kulala
Uwe una omba Mungu akupe ulinzi unapoingia kulala sema hivi "Nazikaa ndoto za kuota nafanya mapenzi kwa damu ya Yesu × 10"
Amka tena usiku saa kumi usiku kusoma zaburi 91:1-7 na isaya 54-14-17
sema hivi "Nazikaa ndoto za kuota nafanya mapenzi kwa damu ya Yesu × 10"
Mungu akubariki utoke katika kifungo hicho
 
Njoo dm mkuu tuongee
Hakuna jini hapo maisha ni zaidi ya kulala na mwanamke, msipigane fix za kijingajinga hali ngumu inawapata wote hata wasiopatwa na hilo tatizo la wet dreams, na usilolijua 85% ya watu wote ulimwenguni hupata hio kitu unataka kusema 85% ya watu wote duniani wana hali ngumu kihivyo? Hizo ni mentality tu
 
Tatizo lako hapa ni lipi?

Hausongi mbele kiuchumi ?
Kuota ndoto ukiwa ufanya mapenzi?

Unahisi hapa ni lipi mkuu ?
Kuna wale manabii na wachungaji na mitume wa mchongo na masheikhe ubwabwa wanamwambia hivyo kwamba akipiga bao usingizini basi ndio hivyo hapati pesa hela hapati na maisha yanakua magumu kwenye upande wake, sasa hio ipo dunia nzima watu karibu 85% wanapiga mabao usingizini ina hata maana wale wanaopigwa mabomu kule Beirut wote wanapiga mabao usingizini ndio maana maisha yamewaelemea?
 
Kuna wale manabii na wachungaji na mitume wa mchongo na masheikhe ubwabwa wanamwambia hivyo kwamba akipiga bao usingizini basi ndio hivyo hapati pesa hela hapati na maisha yanakua magumu kwenye upande wake, sasa hio ipo dunia nzima ina maana wale wanaopigwa mabomu kule Beirut wote wanapiga mabao usingizini ndio maana maisha yamewaelemea?

Aisee Ila nataka nimsikilize vizuri mtoa mada.

Yawezekana issue yake inahitaji uponyaji wa kisaikolojia na sio kiroho
 
Aisee Ila nataka nimsikilize vizuri mtoa mada.

Yawezekana issue yake inahitaji uponyaji wa kisaikolojia na sio kiroho
Ndio asichokijua kupiga bao usingizini kiroho maana yake mwili unajisafisha kiroho unaondoa negative energies kwa njia hio means ukishajimwagia bao usingizini negative energies zinakua zimekuondoka unabaki na positive energies kwa wingi
 
Kupata ndoto kama hizo hutokana na lusting thoughts.
 
asilimia zaidi ya 90 maisha tunayoishi hutokana na machaguo tuliofanya jana. jitathmini staili yako ya maisha kitu gani unakiweka kwenye mfumo wako wa mawazo. muda wako mwingi unautumia kufanya nini?!. jini mahaba na hayo Mataka taka mengine hayaji hivi hivi isipokuwa wewe umeyapa nafasi.

kabla hujafikiria kuyatoa. fikiria kubadilisha mfumo wako wa maisha kama ulikuwa unakawaida ya kuangalia video za ngono, kufanya ngono kiholela ( ikiwa hujaoa). zote hizo ni source za mikosi na laana kwenye life lako. achana na takataka kwenye mwili wako.

Amua leo amua sasa ishi maisha yasio na mawaaa. soma neno la Mungu jizoeshe kuomba. hilo jini mahaba litakimbia lenyewe
 
Kupata ndoto kama hizo hutokana na lusting thoughts.
Sio kweli sababu ni kukaa muda mrefu bila kulala na mwanamke au kulala vibaya maeneo nyeti yakijishtua ndio hali inakua hivyo ni sawa na kufungua kufuli na funguo unavyoitekenya kufuli na funguo inavyofunguka ndio ipo hivyo kwa hio ukilala vibaya na hujapata kulala na mwanamke muda mrefu maeneo nyeti yakashtuliwa
 
Kamaa hilo tatizo linamtokea MTU Mara kwa Mara - lazima something is wrong.
 
ni kweli ndoto nyevu zinamtokea mtu aliyeko kwenye puberty stage. wewe ushakomaa vyakutosha unaota unafanya mapenzi zaidi ya mara moja ujue ubongo wako umeifadhi fikra za ngono kwa wingi kupitia subconscious mind ndo maana unaota na huo ndo hutumiwa kama mlango kwa majini mahaba
Kamaa hilo tatizo linamtokea MTU Mara kwa Mara - lazima something is wrong.
 
Umeelezea vizuri sana

Back
Top Bottom