Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Kama ni mkristo uwe una soma biblia kitabu chausiku ukilala ndoto nyingi unaota unafanya mapenzi ukitafta demu anaweza kukuchukia tu baada ya mda mfupi au ukihiitaki kuwa nae pesa kwako inakuwa changamoto na ukitoka nae nguvu za kiume zinapungua mambo ya kiuchumi kwako yanayumba pesa haikaliki kuchukukiwa bila sababu kwa mwanaume baadhi nasikia yanawafanya wapende ushoga na wanawake wanaishia kusagana aisee hayo madude ombi yasikikute Kuna mda unaweza kutamani hata kujiua fikiria huna mwanamke Wala mtt lkn una madeni ambayo hayaishi na ukiangalia huna Cha maana una miliki pia Huwa yanafanya mtu udharaulike yaani unaweza kwenda sehem ukaona kabsa huyu jamaa au hawajamaa wameshanitoa point 3 Kwa kukuangalia tu...nimehangaika sana kuhusu hii issue.
Zaburi 91:1-7 na
Isaya 54-14-17
soma ulishike neno hilo kila siku unapoingia kulala
Uwe una omba Mungu akupe ulinzi unapoingia kulala sema hivi "Nazikaa ndoto za kuota nafanya mapenzi kwa damu ya Yesu × 10"
Amka tena usiku saa kumi usiku kusoma zaburi 91:1-7 na isaya 54-14-17
sema hivi "Nazikaa ndoto za kuota nafanya mapenzi kwa damu ya Yesu × 10"
Mungu akubariki utoke katika kifungo hicho