Mateso anayonipa jini mahaba

Mateso anayonipa jini mahaba

Ukikaa chini ya mti mkubwa chini ya mti mkubwa ukiwa na masononeko na madukuduku, wanasema hapo jamaa ndio nyumbani kwao kwa hio picha linaanza umekaa nyumbani kwao bila kujua wewe huwaoni ila wao wanakuona

Soma

 
Leo kwa mara ya Kwanza JAMIIFORUMS nimeona demu mkali
Soma

 
Kwema.

Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika

Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia

Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego nimechoka.

Pia soma
- Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?
SIo kweli, km ni kweli nipe namba zake
 
Oyaaa Nani huyo 🤣

Nipe handle
Pole sana

Screenshot_20241016-150853.png
 
Back
Top Bottom