zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
SomaSawa Thomaso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SomaSawa Thomaso
SomaYou are suffering from Mental disease, So get your fucking mindset right.
Leo kwa mara ya Kwanza JAMIIFORUMS nimeona demu mkali
SomaYou are suffering from Mental disease, So get your fucking mindset right.
islamqa.org
Utakutana na majini nyambafu au hujui nao wanatumia Smartphone?Leo kwa mara ya Kwanza JAMIIFORUMS nimeona demu mkali
Ukikaa chini ya mti mkubwa chini ya mti mkubwa ukiwa na masononeko na madukuduku, wanasema hapo jamaa ndio nyumbani kwao kwa hio picha linaanza umekaa nyumbani kwao bila kujua wewe huwaoni ila wao wanakuona
Unapenda penda mwisho utapendwa na majiniLeo kwa mara ya Kwanza JAMIIFORUMS nimeona demu mkali
Siri siriniSawa Thomaso
Afanye Shughuli zingine eti eeeh!🤣🤣SIMPLE.. Achana na jini mahaba
Anazingua nishamuona
Oyaaa Nani huyo 🤣Leo kwa mara ya Kwanza JAMIIFORUMS nimeona demu mkali
SomaLeo kwa mara ya Kwanza JAMIIFORUMS nimeona demu mkali
SIo kweli, km ni kweli nipe namba zakeKwema.
Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika
Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia
Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego nimechoka.
Pia soma
- Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?
SomaLeo kwa mara ya Kwanza JAMIIFORUMS nimeona demu mkali
SomaLeo kwa mara ya Kwanza JAMIIFORUMS nimeona demu mkali
Ulisema kwamba?Oyaaa Nani huyo 🤣
Nipe handle