Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa nafuatilia kwa makini, lakini baada ya kusoma hii comment niliona kumbe hakuna kitu bali ni chai tu!!😂😂😂 ana UTI sugu lnkn
Asome thread isemayo,
Kwenye masuala yangu ya ujenzi na finishing za hapa na pale kuna nyumba 1 niliwahi kuitembelea kwenda kufanya finishing ile nyumba ilinishangaza kitu kimoja ambacho mpaka leo sijapata majibu, nyumba ina vyumba vingi kitchen, dinning, sitting room, store, toilet vyote ndani ila kuna chumba kimoja ambacho ni master bedroom ndicho kilichonishangaza zaidi, unajua nini kilichonishangaza?Wewe umejuaje kama una jini mahaba? Sababu ulizosema mbona ni za kawaida kila mtu anazo huku mtaani? Yaani mtaani ukiwa na kitambulisho tu,tayari una sifa za kukopeshwa,iweje wewe unasema ni mtego?
Mambo ya kufanya ni mengi, muda hautoshi. Yeye anakomaa na jini mahaba tu😄Afanye Shughuli zingine eti eeeh!🤣🤣
Majini, au Jini mmoja, ni viumbe wenye akili na wana mfanano na binadamu katika masuala ya kazi za kibiolojia. Wanakula, kunywa, na hata wenzi (cha ajabu, wanaweza kujamiiana na wanadamu na kuzaa watoto chotara).Binadamu tuko limited na upeo wetu kimaarifa, mfano respiratory system (oxygen and carbon dioxide in human body) bado kabisa haijathibitishwa by tangibility and visibility.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Mtu wa kwanza kuomba kwa kumaanisha ni wewe mwenyewe. Weka nia dhabiti uwe tayari kujifunga mkanda haswaa. Ni wiki tu utazungumza vema.Kwema.
Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika
Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia
Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego nimechoka.
Pia soma
- Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?
Mbona hapo hakuna jini mahaba, fanya kazi kwa bidii kipato kitaongezeka, ukiwa na mpenzi simama sehem yako kama mwanaume, hakuna mwanamke anapenda mwanaume asiye na hela, wewe umesema hauna hela. Ukiyamudu hayo jini mahaba anakimbia mwenyeweKwema.
Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika
Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia
Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego nimechoka.
Pia soma
- Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?
Story yako imeishia kati ikaishaisha vipi?Nikiwa form 3 meta sekondari pale mbeya, nilikuwa nimepanga mitaa ya simike karibu na kanisa la Monrovia.
Nyuma ya nyumba tuliyoishi kulikuwa kuna Bibi mtaalamu wa magonjwa ya uzazi kwa akina mama.
Wiki moja toka kuhamia Ile nyumba ilinitokea Jambo la ajabu yaani kila siku nikilala lazima nipige bao ndotoni, kila siku ya mungu kwa muda wa miezi 3..
Kwa kua nilikuwa naishi na mwenzangu ikabidi nimuulize kijanja nae akasema yanamtokea, tukalalamika kwa majirani Ile issue ikaisha..
Je hii nayo ni jini mahaba au ni kitu gani
Sikutaka kuchangia, coz Jamii forums now days imejaa Wajinga wajuaji wa wasivyovijua..!Kwema?
Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika
Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia
Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego nimechoka.
Pia soma
- Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?
Oya nyie watu ndio mnazingua sawa wewe ulionana nae mtaani hivi ushaambiwa Jinn au Shetani huwezi kumuona sasa wewe ulitumia mbinu gani kumuona huko mtaani? Mkitwangwa maswali hamjibu mwisho mnaanza kubwabwaja elezea vizuri kimtiririko ilikua A ikawa B ikawa C ikawa D sasa wewe unamvutia PMSikutaka kuchangia, coz Jamii forums now days imejaa Wajinga wajuaji wa wasivyovijua..!
Hakuna chochote utajifunza hapa, angalau Watu wawili hivi wamekupa Mwanga juu ya wewe kujifunza kufanya Maombi mwenyewe.!
Mimi nimeshasumbuliwa na Hayo madude Kwa miaka 15, Nilionana na huyo Jini live mtaani....!
So naelewa unachosema kuwahusu, Sasa nipo huru, ila ni Vita isiyo na kupumzika....!
Kuna sababu Kwa Nini wewe Ushambuliwe na Majini Mahaba, Majini Mahaba hayamshambulii kila mtu na sababu njema kwako Kwa ajiri ya kufahamu Kwa Nini upo Duniani....!
Ukiweza njoo inbox ntakupa uzoefu wangu ulonitoa huko...!
USIRNDE KWA MGANGA WA KIENYEJI.
Sio lazima ujue kila kitu.Oya nyie watu ndio mnazingua sawa wewe ulionana nae mtaani hivi ushaambiwa Jinn au Shetani huwezi kumuona sasa wewe ulitumia mbinu gani kumuona huko mtaani? Mkitwangwa maswali hamjibu mwisho mnaanza kubwabwaja elezea vizuri kimtiririko ilikua A ikawa B ikawa C ikawa D sasa wewe unamvutia PM
Jini mahaba, doesn't exist. Ni dhana tu za kiswahili.Kwema?
Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika
Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia
Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego nimechoka.
Pia soma
- Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?
🤣🤣🤣Mambo ya kufanya ni mengi, muda hautoshi. Yeye anakomaa na jini mahaba tu😄
Ni lazima nijue kila kituSio lazima ujue kila kitu.