Mateso anayonipa jini mahaba

Mateso anayonipa jini mahaba

Wewe umejuaje kama una jini mahaba? Sababu ulizosema mbona ni za kawaida kila mtu anazo huku mtaani? Yaani mtaani ukiwa na kitambulisho tu,tayari una sifa za kukopeshwa,iweje wewe unasema ni mtego?
 
Kwenye masuala yangu ya ujenzi na finishing za hapa na pale kuna nyumba 1 niliwahi kuitembelea kwenda kufanya finishing ile nyumba ilinishangaza kitu kimoja ambacho mpaka leo sijapata majibu, nyumba ina vyumba vingi kitchen, dinning, sitting room, store, toilet vyote ndani ila kuna chumba kimoja ambacho ni master bedroom ndicho kilichonishangaza zaidi, unajua nini kilichonishangaza?

Kile chumba sijajua ni jinsi kilivyojengwa au ni namna gani ila ukiingia ni km upo ulimwengu mwingine sio huu ulimwengu tuliopo

Ukiingia kwenye hicho chumba wewe husikii chochote kutoka nje ila waliopo nje vyumba vya jirani mpaka sitting room wanasikia kila unachokifanya ila wewe kule ndani unajisikia peke yako kumbe huku nje unasikika kila unachofanya kila unachoongea

Kile chumba kilinishangaza sana
 
Binadamu tuko limited na upeo wetu kimaarifa, mfano respiratory system (oxygen and carbon dioxide in human body) bado kabisa haijathibitishwa by tangibility and visibility.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Majini, au Jini mmoja, ni viumbe wenye akili na wana mfanano na binadamu katika masuala ya kazi za kibiolojia. Wanakula, kunywa, na hata wenzi (cha ajabu, wanaweza kujamiiana na wanadamu na kuzaa watoto chotara).

Muda wao wa kuishi unazidi ule wa wanadamu, lakini wao ni wa kufa na hata huomboleza wafu wao. Sawa na binadamu, kuna tabaka tofauti na hata koo za Majini. Wana familia, kazi, majukumu ya kiraia, na aina mbalimbali za imani za kiroho na uhusiano wa kidini. Miundo yao ya kijamii na kisiasa inafanana na ile ya wanadamu wenye watawala, serikali, na majeshi.

Majini si sehemu ya kundi moja la watu wa jinsia moja. Kuna aina nyingi tofauti. Baadhi ni nzuri, na baadhi ni mbaya. Kulingana na mafundisho ya Kiislamu, kwa sababu wana uhuru wa kuchagua kama wanadamu, wanawajibika kwa matendo na matendo yao maishani, ambayo, kama wanadamu, wanajibu katika kifo.

Zaidi ya kutoonekana na kuwa na uwezo wa kujifanya katika maumbo mbalimbali, Majini wanasemekana kuwa na uwezo mwingine usio wa kawaida. Wengi wana uwezo wa kuruka na wanaweza kupita umbali mkubwa kwa sekunde. Wanaweza kuinua kwa urahisi na kusafirisha vitu vizito. Wanaweza pia kuathiri mawazo na hata kuchukua akili na miili ya wanadamu.

Hata hivyo, hata kwa uwezo huu wote wa ziada, wanadamu wanaaminika kuwa viumbe bora kuliko Majini. Wanaripotiwa kushangazwa na jamii ya wanadamu na wanatuchunguza sana.

Cha ajabu, ingawa mara nyingi huhusishwa na mapango, maeneo machafu, giza na jangwa, na hata makaburi, wanachukua ulimwengu wetu. Wao ni viumbe wenye pande mbalimbali kutoka katika ulimwengu unaolinganishwa—eneo ambalo limefunikwa kabisa na letu- lakini wakati huo huo ni tofauti kabisa.
 
Kwema.

Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika

Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia

Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego nimechoka.

Pia soma
- Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?
Mtu wa kwanza kuomba kwa kumaanisha ni wewe mwenyewe. Weka nia dhabiti uwe tayari kujifunga mkanda haswaa. Ni wiki tu utazungumza vema.

God's power is within yourself.
 
Kwema.

Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika

Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia

Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego nimechoka.

Pia soma
- Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?
Mbona hapo hakuna jini mahaba, fanya kazi kwa bidii kipato kitaongezeka, ukiwa na mpenzi simama sehem yako kama mwanaume, hakuna mwanamke anapenda mwanaume asiye na hela, wewe umesema hauna hela. Ukiyamudu hayo jini mahaba anakimbia mwenyewe
 
uko sawa lkn mi nimemjibu kama yeye alivyoleta Kwa njian ya utani
 
Nikiwa form 3 meta sekondari pale mbeya, nilikuwa nimepanga mitaa ya simike karibu na kanisa la Monrovia.

Nyuma ya nyumba tuliyoishi kulikuwa kuna Bibi mtaalamu wa magonjwa ya uzazi kwa akina mama.

Wiki moja toka kuhamia Ile nyumba ilinitokea Jambo la ajabu yaani kila siku nikilala lazima nipige bao ndotoni, kila siku ya mungu kwa muda wa miezi 3..

Kwa kua nilikuwa naishi na mwenzangu ikabidi nimuulize kijanja nae akasema yanamtokea, tukalalamika kwa majirani Ile issue ikaisha..

Je hii nayo ni jini mahaba au ni kitu gani
 
Story yako imeishia kati ikaishaisha vipi?
 
Kwema?

Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika

Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia

Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego nimechoka.

Pia soma
- Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?
Sikutaka kuchangia, coz Jamii forums now days imejaa Wajinga wajuaji wa wasivyovijua..!

Hakuna chochote utajifunza hapa, angalau Watu wawili hivi wamekupa Mwanga juu ya wewe kujifunza kufanya Maombi mwenyewe.!

Mimi nimeshasumbuliwa na Hayo madude Kwa miaka 15, Nilionana na huyo Jini live mtaani....!

So naelewa unachosema kuwahusu, Sasa nipo huru, ila ni Vita isiyo na kupumzika....!
Kuna sababu Kwa Nini wewe Ushambuliwe na Majini Mahaba, Majini Mahaba hayamshambulii kila mtu na sababu njema kwako Kwa ajiri ya kufahamu Kwa Nini upo Duniani....!

Ukiweza njoo inbox ntakupa uzoefu wangu ulonitoa huko...!

USIRNDE KWA MGANGA WA KIENYEJI.
 
Oya nyie watu ndio mnazingua sawa wewe ulionana nae mtaani hivi ushaambiwa Jinn au Shetani huwezi kumuona sasa wewe ulitumia mbinu gani kumuona huko mtaani? Mkitwangwa maswali hamjibu mwisho mnaanza kubwabwaja elezea vizuri kimtiririko ilikua A ikawa B ikawa C ikawa D sasa wewe unamvutia PM
 
Sio lazima ujue kila kitu.
 
Jini ma
Kwema?

Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika

Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia

Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego nimechoka.

Pia soma
- Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?
Jini mahaba, doesn't exist. Ni dhana tu za kiswahili.
Anza kusoma vitabu vya kisasa kama vile vy motivation, kubadili tabia n.k, na acha kuamini uwepo wa vitu vya kufikirika kama majini.
 
Back
Top Bottom