Mateso na kufeli kwako ukiwasimulia Hufurahi mioyoni mwao; Mafanikio yako huwachoma

Barikiwa Sana
Amina.
Sema mimi napenda sana kuwatangazia watu shida fake cz nilishawajua .So napenda sanaa kuwafanya wafurah kwa kuwapa kile wapendacho kusikia.

Ili nisiwakere huwa yale mazuri wasiopenda kiyasikia napiga nayo kimyaa wanashangaa mambo yanasonga tu huku kila time nawahubiria shida 😂😂
 
Off topic hivi inakuwaje aliye single ana jealosy na wenye mpenzi na mwenye mpenzi ana jealousy na aliye single
 
Off topic hivi inakuwaje aliye single ana jealosy na wenye mpenzi na mwenye mpenzi ana jealousy na aliye single

Sio wote. Inategemea.
Sisi wengine hatuwezi ishi bila mahusiano.
Na hatujawahi kuwaonea Wivu walio Single.
 
😀😀
 
Kanyaga kama ana roho ya chuki, kanyaga kama si rafiki , wenye wivu , wachoyo na wanafiki wote kanyaga
 
Master Robert Heriel Mtibeli kazi nzuri sana hii kutoka kwako Taikon wa fasihi
 
Nimekuelewa Mkuu...sana Yani na nimeshaona hii kitu mno mno....na Tena kama una kamradi unafungua au chochote usianze kutangaza na kupiga honi nyingiiiii hutaufungua Kuna kitu Fulani huondoka unapoongea sana.....fanya waone wabaki kusema Imekuwaje
 
Ni kweli.
Utakwama tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…