Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

Bora wewe huna nguvu za kiume ila pesa unazo, wengine hawana vyote.

Ushauri oa, uwe unafanya sasa sana wenda ùtakaa sawa.

Kwa tatizo hilo sidhani kama kinga unaweza vaa so oa
Nguvu za kiume mbona anazo, maana inasimama na anaweza kurudia tendo, ambaye hana nguvu ni yule hausimami,
Umekata tamaa na nini tena
Au anayepiga kimoja afu ndo basi haisimami tena, huyo ndo hana nguvu.
 
Back
Top Bottom