monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
HahahahaHao ni Wazanzibari acha wapate tabu huko. Akipona hapo utasikia hii ni thawabu kuteswa na Mwarabu. Hii mijamaa inamwona Mwarabu kama ni nusu Mungu. Naishia hapa japo yapo Mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nao pamoja na kutafuta maisha lakini eneo hatarishi wanaenda kufanya nini? Tulisha choka na hizi habari za watu wanaoteseka huko uarabuni,kwa nini bado wanabebana kwenda huko? Aaaah!Serikali kupitia balozi za Oman na Saudi Arabia, muwe na vikao vya mara kwa mara na Watanzania waishio huko, wengi wanateswa na kuuawa pasipo msaada wowote kutoka Balozi zetu.
Muwe mnafanya vikao angalau mara mbili kwa mwaka, ili mjue changamoto mbalimbali wanazopitia watu wenu.
Nina uhakika idadi na taarifa zao mnazo ila ni uvivu tu wa kuwafatilia na kujua wanaendeleaje.
Maeneo au machinjio ya waafrika wengi ni Saudi Arabia na Oman....Haya ni maeneo hatari sana sio kama Dubai au Qatar, tafadhali Balozi za Oman na Saudi Srabia saidieni Watanzania.
View attachment 1070124
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwarabu wa maneromangoAre you a Whiteman?
Fuatilia watakaotetea hayo mambo aidha kwa kusema hayapo au kusema yapo ila ni kawaida au bora hayo maana hata hapa bongo mateso yapo....wengi kama sio wote wanaosema hizi kauli ni waislam.
Sasa sijui kuna uhusiano gani kati ya uislam na waarabu.
Point.Kwahiyo waislam ndo walikuwa wanafanya biashara ya utumwa peke yao dunia nzima!
NB:
Siwatetei waarabu kwa unyama wanaotufanyia waafrika tena nawachukia mno.....ila mambo ya kiimani sidhani kama yanaingiliana hapa ila nachojua mtu akiwa na tabia mbaya au roho mbaya haiwezi kuhusiana na imani yake
Hata wadada wa Kenya wako wengi sana Saudi Arabia wanapata shida sana,nasikia Serikali Mpya ya Kenya imezuia raia wake kwenda hukoHao ni Wazanzibari acha wapate tabu huko. Akipona hapo utasikia hii ni thawabu kuteswa na Mwarabu. Hii mijamaa inamwona Mwarabu kama ni nusu Mungu. Naishia hapa japo yapo Mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hujui kuwa Makka na Madina zipo Saudi Arabia na Mtume Muhammad (S.A.W) kazaliwa huko?Fuatilia watakaotetea hayo mambo aidha kwa kusema hayapo au kusema yapo ila ni kawaida au bora hayo maana hata hapa bongo mateso yapo....wengi kama sio wote wanaosema hizi kauli ni waislam.
Sasa sijui kuna uhusiano gani kati ya uislam na waarabu.
Mbona huku bingo wezi wanachomwa moto kitaa? Au kwavile kachomwa na mweusi mwenzie haina tatizo?Hao ni Wazanzibari acha wapate tabu huko. Akipona hapo utasikia hii ni thawabu kuteswa na Mwarabu. Hii mijamaa inamwona Mwarabu kama ni nusu Mungu. Naishia hapa japo yapo Mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa ndo zitawapeleka Tena baada ya zuio watatumia njia za panya (TZ, Uganda au Somalia).Hata wadada wa Kenya wako wengi sana Saudi Arabia wanapata shida sana,nasikia Serikali Mpya ya Kenya imezuia raia wake kwenda huko