Mateso ya Jackline Wolper

Mateso ya Jackline Wolper

Habari,

Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba.

Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo baada ya kuanza kutoka na mtoto mdogo Harmonize wakati ametoka kuchumbiwa hivi karibuni, mbaya zaidi kujiachia na mambo ya chumbani adhara na yule mtoto wa kimakonde ambaye ni mdogo wake na wala hawaendani.

Lakini jana nilipokua nachek take one ya Zamaradi ndipo nilipo muelewa Jack na kuona amepitia mateso makali sana kisaikolojia kupitia yule mchumba wake ambaye anaitwa mkongo, alikua too deeper kihisia kuonesha ni kiasi gani alimpenda yule jamaa na mbaya zaidi akimvumilia na kugombana na watu wake wa karibu kwa ajili yake, mwisho wa siku jamaa kumbe ni mme wa mtu na mtoto, tena bado yupo karibu na familia yake lakini nia yake amharibie maisha mtoto wa watu dada yangu mchaga mwenzangu.

Vitendo vya aibu kumpiga picha za uchi pengine hata kumrekodi na mengine mengi inaonekana amefanyiwa huyu dada na jamaa mkongo.

Jacky naye baada ya kuchanganywa mkongo akaona ajitulize kwa dogo Harmonize ili afute kumbukumbu ya x wake wakati kimsingi anajiongezea matatizo kwasababu huyu dogo na kundi lake ni ma womanizer atamtumia nakumdampu huku akiwa kajishushia heshima na kujizidishia mkosi katika maisha yake.Sasa angetulia akapiga kazi kwani kwa mwanamke wa kichaga mapezi si kitu kwake zaidi ya pesa hasa akisha tendwa.

Naomba mtu wake wa karibu amfikishie.

My take:Wadada wa mjini msikurupukie wageni.
Hao wadada wa mjini,naye kumbe!
 
Kwa hiyo mwisho wa siku unakubaliana na umalaya wake..kwa hiyo wale wanaume wote waliompitia na mara moja aliwahi kubadilisha dini alikuwa anatendwa yeye tu? Kwa ufupi mi naona mapenzi ya huyu dada yanasukumwa na dhamira ya pesa na utamani..Hapo kwa chinga kafuata mipunga na kuosha jina lake lisipauke
 
Bongo muvi wote hata mahusiano yao ni muvi tu yaani hakuna uhalisia ndo maana katika watu wanaofel katika mahusiank kwa hapa bongo ni pamoja na hao bongo muvi sijajua matatizo yao ni ule umaarufu wa kuonekana kwenye kideo ama nini ukiachana na huyo Jacklyne bado wangine mapenzii yao ni maluwe luwe tu
Kula gwara mkuu umemaliza kila kitu
 
Unaanza kupigwa picha za uchi kama hukutaka mwenyewe
 
Hope wanakumbuka kuwekeza hela wanazotengeneza...maana wakizeeka na soko kuchuja sijui maisha yatakuwaje?
Unakuta anajisifu kwa nywele za 2m kwa mwezi na nyumba ya kodi 3m kwa mwezi...kujisifu kujua kutumia badala ya kujisifu kujua kutafuta na kuwekeza...

Ila hao wanaume wako smart...wanawapangishia mijumba badala ya kujenga wakijua kodi itawafanya wawaburuze watakavyo...ukimjengea mtu unampa uhuru...
 
Huyo dada n bure kabsa hata km n kutendwa kunauma ila,co kujirahisisha kwa mtt mdg km yule aangalie anavodharaulika now sasa
 
yan saiv mt ukiwa na bby wako unabid uwe makin wanaume cyo wat kabisa yan mt anategesha camera anakurecord mnavyo do cku mkiachana anakutishia kuwa anazirusha izo video ndo kilichomkuta jack kwa mcongo
 
Waigizaji wengi wa Bongo movie hasa wanawake wanapenda kuishi maisha ambayo hawawezi kumudu kwa sababu kipato chao ni kidogo. Mauzo ya filamu yameshuka sana. CD moja inauzwa kati sh 3500 mpaka 5000 na nakala zinazouzwa si nyingi kuweza kumudu mahitaji yao. Hawa waigizaji kama wanavoonekana kwenye filamu nyingi wanapenda kuvaa nguo zenye thamani, kuendesha magari mazuri au kuishi katika nyumba za kifahari. Vilevile tatizo la umaarufu lina wasumbua wanajiona mastaa kwa hiyo hawapendi kuwa wa kawaida kwa mfano kupanda daladala au kuvaa nguo za bei rahisi. Pia wanapenda matanuzi, kula na kunywa kwenye mahoteli makubwa. Kwa sababu hizo ni lazima watatafuta Mabwana wenye fedha nyingi na hawa mabwana wakisha maliza haja zao wanawatema. kwa hiyo watahama toka kwa bwana moja hadi mwingine ili kumudu mahitaji yao
 
ila wolper umenisikitisha sana kuanika kila kitu namna ile kwenye tv ili upate sympathy ya fans wako na kimakonde chako...hovyooo!!
mwanamke hujui uongee nini uache nini kwenye media?kweli unahitaji shule my dear ,,,yani jak umenichosha jana ckutegemea upo brainwashed namna ile....unaongea kama upo chumbani na shost wako while ile ni tv??tena ya mmbea kama zamaradi....zama lini ameyaanika yake?grow up
 
yan saiv mt ukiwa na bby wako unabid uwe makin wanaume cyo wat kabisa yan mt anategesha camera anakurecord mnavyo do cku mkiachana anakutishia kuwa anazirusha izo video ndo kilichomkuta jack kwa mcongo
Wanaume siyo watu including your papa,brothers and all the so called men in your family,thats good.
 
Kula gwara mkuu umemaliza kila kitu
Hawajielewi wote full maigizo na kupenda kujishow kwa watu akipata mpenz basi shida anakuwa kama limbuken akiachika anataka huruma kwa wananchi acha vijana wawakanyage tu hakuna namna wamekosa heshima kwa jamii hakuna mwanaume mwenye nia ya dhat ataenda kwa hao bongo muvi
 
na mwanaume yoyote atakae oa mwanamke wa bongo movie basi kichwa kimejaa tope..wamuulize Mh.Sadifa (MB)
 
Hayo ni maisha yake na maamuzi yake awe anaigiza au aigizi hilo linabaki kuwa ni juu yake kwani kama ni kuharibikiwa au kutengeneza maisha basi yeye ndio muathirika wa hayo yote, awe anakosea au anapatia hayo ni maoni yenu lakini yeye anaona anapatia na mimi naona kweli anapatia kwa kuwa hajavunja sheria za nchi wala hajaniingilia kwa namna yoyote ile, kwahiyo Wolper endelea na maisha yako kwani ni wewe tu ndio unayejua unafanya nini iwe kizuri au kibaya ni maamuzi yako.
 
Habari,

Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba.

Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo baada ya kuanza kutoka na mtoto mdogo Harmonize wakati ametoka kuchumbiwa hivi karibuni, mbaya zaidi kujiachia na mambo ya chumbani adhara na yule mtoto wa kimakonde ambaye ni mdogo wake na wala hawaendani.

Lakini jana nilipokua nachek take one ya Zamaradi ndipo nilipo muelewa Jack na kuona amepitia mateso makali sana kisaikolojia kupitia yule mchumba wake ambaye anaitwa mkongo, alikua too deeper kihisia kuonesha ni kiasi gani alimpenda yule jamaa na mbaya zaidi akimvumilia na kugombana na watu wake wa karibu kwa ajili yake, mwisho wa siku jamaa kumbe ni mme wa mtu na mtoto, tena bado yupo karibu na familia yake lakini nia yake amharibie maisha mtoto wa watu dada yangu mchaga mwenzangu.

Vitendo vya aibu kumpiga picha za uchi pengine hata kumrekodi na mengine mengi inaonekana amefanyiwa huyu dada na jamaa mkongo.

Jacky naye baada ya kuchanganywa mkongo akaona ajitulize kwa dogo Harmonize ili afute kumbukumbu ya x wake wakati kimsingi anajiongezea matatizo kwasababu huyu dogo na kundi lake ni ma womanizer atamtumia nakumdampu huku akiwa kajishushia heshima na kujizidishia mkosi katika maisha yake.Sasa angetulia akapiga kazi kwani kwa mwanamke wa kichaga mapezi si kitu kwake zaidi ya pesa hasa akisha tendwa.

Naomba mtu wake wa karibu amfikishie.

My take:Wadada wa mjini msikurupukie wageni.
Kwa nilivyoona kipindi cha jana nahisi wolper hayuko sawa kiakili, aidha kwa stress au yanayomtokea katika maisha yake katika kipindi hiki chote. Hata uamuzi wa kuwa na harmonize (rajabu kama anavyomuita mwenyewe) sidhani kama ni sahihi kwake. Watu wake wa karibu wakae nae chini na kumpa ushauri utakaomweka sawa kiakili vinginevyo anaelekea kubaya.
 
Wadada wa mujini hasa hawa the so called bongo movie/fleva wanaishi kwa kujiuza direct/indirect.. Anyway hata Mimi nilimuonea Huruma sana akionekana ni mtu mwenye stress za hali ya juu kiasi hata mm mchunga mbuzi naweza kumuopoa kwa wakati huu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom