Mateso ya Jackline Wolper

Mateso ya Jackline Wolper

Picha tafadhali mimi simjui huyo wolper wala harmonize!!
 
Mi sijaelewa hizo picha za uchi alipigwa akiwa usingizini?? Jambo jingine kwanini kila siku akipiga picha na mkongo yeye kazi yake alikuwa akiwachamba wanawake kiuswahili kama mi nimempata ..mara huyu wangu..kesho atasema mlie sijui nini.mi nilimpenda huyu dada nilifikiri anajiheshimu sasa ninaamini alikuwa anatafuta kick tu kuandikwa magazetini kila siku.na kutoka na harmonize apande chati.hapo kajishushia hadhi mno harmo...mwenyewe sura kama remmy anamchezea tu.sipendi kumtukana harmonize ila naye kumsema sepetu haipendezi.kutoa mimba si big deal kila mtu anapitia mapito fulani kwenye maisha
 
Hii ni kick tu ya dogo kuuza show zake wala isipasue watu vichwa na hata kama wanakulana ni very normal in entertainment industry waachwe wafurahiane.
 
Kuumizwa kaanza yeye?tena ashukuru Mungu hajazalishwa cos kuna wanawake maarufu na wanajielewa akina Genevieve wa Nigeria kazalishwa na kuachwa,Jlo ,Rihhana wanaumizwa sembuse yeye ....anaumizwa kidogo tu kakimbilia kujishushia heshima na Huyo dogo eti anampa furaha alionesha kwamba hana ukomavu wa akili akifikiri Huyo harmonize atampa furaha unajipa mwenye we kwanza then u can spread it to others,
Hapo kakurupuka sana tena sana kwani yeye ni kioo cha jamii ndo maana ikawa big deal.....hili ni funzo kubwa kwa wadada wanaokurupukia mapenzi baada ya kuumizwa/kuachwa......namaliza
 
Mchaga mwenzake Wolper hivi umegundua kama Jana mchaga mwenzako alikua amelewa?
 
Atulie apige kazi ipi sasa wakati hiyo ndio kazi ya bongo movie wa kike. We unadhani kuna sanaa gani ya kuwalipa kiasi cha kuishi maisha wanayoishi? Harmonize ni fursa, apendwe kwa sura ipi.
 
Naomba kuuliza alivyopigwa hizo picha alikuwa amelala? ? Maana sitaki kum judge kwa hilo kwanza
bi dada kitandani kuna mambo mengi yanayoendelea tena ni invicible, we huoni mwenzako anayaona na kuyafanya pasipo wewe kujielewa.,. Ukishakuwa celeb kuwa makini na mambo ya faragha..!
 
Atulie apige kazi ipi sasa wakati hiyo ndio kazi ya bongo movie wa kike. We unadhani kuna sanaa gani ya kuwalipa kiasi cha kuishi maisha wanayoishi? Harmonize ni fursa, apendwe kwa sura ipi.
dah..! nimecheka sana,.
 
Habari,

Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba.
Kwani mtoto wa kimakonde hastahili kutoka na Wolper!? Mwache mdogo wangu, tang'una limbende mwana mati anevo valume va dar vavena malove muchi vamahe!

Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo baada ya kuanza kutoka na mtoto mdogo Harmonize wakati ametoka kuchumbiwa hivi karibuni, mbaya zaidi kujiachia na mambo ya chumbani adhara na yule mtoto wa kimakonde ambaye ni mdogo wake na wala hawaendani.

Lakini jana nilipokua nachek take one ya Zamaradi ndipo nilipo muelewa Jack na kuona amepitia mateso makali sana kisaikolojia kupitia yule mchumba wake ambaye anaitwa mkongo, alikua too deeper kihisia kuonesha ni kiasi gani alimpenda yule jamaa na mbaya zaidi akimvumilia na kugombana na watu wake wa karibu kwa ajili yake, mwisho wa siku jamaa kumbe ni mme wa mtu na mtoto, tena bado yupo karibu na familia yake lakini nia yake amharibie maisha mtoto wa watu dada yangu mchaga mwenzangu.

Vitendo vya aibu kumpiga picha za uchi pengine hata kumrekodi na mengine mengi inaonekana amefanyiwa huyu dada na jamaa mkongo.

Jacky naye baada ya kuchanganywa mkongo akaona ajitulize kwa dogo Harmonize ili afute kumbukumbu ya x wake wakati kimsingi anajiongezea matatizo kwasababu huyu dogo na kundi lake ni ma womanizer atamtumia nakumdampu huku akiwa kajishushia heshima na kujizidishia mkosi katika maisha yake.Sasa angetulia akapiga kazi kwani kwa mwanamke wa kichaga mapezi si kitu kwake zaidi ya pesa hasa akisha tendwa.

Naomba mtu wake wa karibu amfikishie.

My take:Wadada wa mjini msikurupukie wageni.
 
WCB hizo ndio kanuni Za Maisha lazima watoke Na watu wazima angazia Daimond vs Zari,Mose lyobo vs Anti Ezakiel na Harmonies vs Jack Wolper
Mi nawaunga mkono, watu wazima wengi(sio wote) wametulia na wanajielewa, ukitaka stress toka na watoto wa chuo, halafu kwenye mapenzi muhimu mawelewano kuliko umri
 
Hana lolote hayo machozi ni yakinafki tu, ataka aonewe huruma na watu wayabariki hayo madudu yao na huyo mtoto.

Eti "nampenda Raji(harmonize) coz ana khofu ya Mungu..."

Sina mbavu mie.
 
Habari,

Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba.

Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo baada ya kuanza kutoka na mtoto mdogo Harmonize wakati ametoka kuchumbiwa hivi karibuni, mbaya zaidi kujiachia na mambo ya chumbani adhara na yule mtoto wa kimakonde ambaye ni mdogo wake na wala hawaendani.

Lakini jana nilipokua nachek take one ya Zamaradi ndipo nilipo muelewa Jack na kuona amepitia mateso makali sana kisaikolojia kupitia yule mchumba wake ambaye anaitwa mkongo, alikua too deeper kihisia kuonesha ni kiasi gani alimpenda yule jamaa na mbaya zaidi akimvumilia na kugombana na watu wake wa karibu kwa ajili yake, mwisho wa siku jamaa kumbe ni mme wa mtu na mtoto, tena bado yupo karibu na familia yake lakini nia yake amharibie maisha mtoto wa watu dada yangu mchaga mwenzangu.

Vitendo vya aibu kumpiga picha za uchi pengine hata kumrekodi na mengine mengi inaonekana amefanyiwa huyu dada na jamaa mkongo.

Jacky naye baada ya kuchanganywa mkongo akaona ajitulize kwa dogo Harmonize ili afute kumbukumbu ya x wake wakati kimsingi anajiongezea matatizo kwasababu huyu dogo na kundi lake ni ma womanizer atamtumia nakumdampu huku akiwa kajishushia heshima na kujizidishia mkosi katika maisha yake.Sasa angetulia akapiga kazi kwani kwa mwanamke wa kichaga mapezi si kitu kwake zaidi ya pesa hasa akisha tendwa.

Naomba mtu wake wa karibu amfikishie.

My take:Wadada wa mjini msikurupukie wageni.
Umejaribu kupata na hadithi ya huyo mtuhumiwa? My brother ask me about those yellow pigs (sorry to say this)huwafamu bongo movie vizuri they are pretenders and most hated creatures. . . nobody with his nerves can date them...! Namaanisha...[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Kwa nilivyoona kipindi cha jana nahisi wolper hayuko sawa kiakili, aidha kwa stress au yanayomtokea katika maisha yake katika kipindi hiki chote. Hata uamuzi wa kuwa na harmonize (rajabu kama anavyomuita mwenyewe) sidhani kama ni sahihi kwake. Watu wake wa karibu wakae nae chini na kumpa ushauri utakaomweka sawa kiakili vinginevyo anaelekea kubaya.
huwezi kujua
Hana lolote hayo machozi ni yakinafki tu, ataka aonewe huruma na watu wayabariki hayo madudu yao na huyo mtoto.

Eti "nampenda Raji(harmonize) coz ana khofu ya Mungu..."
Huoni sababu yake kumpenda rajab , ni sahihi ?
 
Nilishangaa anakabaka katoto ka watu bureee, wolper nimemuheshimu kitambo ila sas simtofautishi na shilole na wema seeenziiiii
 
Back
Top Bottom