QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 698
ulevi ni janga la taifa...refer to mr waziri 'chazi'.anasema eti alikuwa kalewa chakari.
Hao wadada wa mjini,naye kumbe!Habari,
Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba.
Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo baada ya kuanza kutoka na mtoto mdogo Harmonize wakati ametoka kuchumbiwa hivi karibuni, mbaya zaidi kujiachia na mambo ya chumbani adhara na yule mtoto wa kimakonde ambaye ni mdogo wake na wala hawaendani.
Lakini jana nilipokua nachek take one ya Zamaradi ndipo nilipo muelewa Jack na kuona amepitia mateso makali sana kisaikolojia kupitia yule mchumba wake ambaye anaitwa mkongo, alikua too deeper kihisia kuonesha ni kiasi gani alimpenda yule jamaa na mbaya zaidi akimvumilia na kugombana na watu wake wa karibu kwa ajili yake, mwisho wa siku jamaa kumbe ni mme wa mtu na mtoto, tena bado yupo karibu na familia yake lakini nia yake amharibie maisha mtoto wa watu dada yangu mchaga mwenzangu.
Vitendo vya aibu kumpiga picha za uchi pengine hata kumrekodi na mengine mengi inaonekana amefanyiwa huyu dada na jamaa mkongo.
Jacky naye baada ya kuchanganywa mkongo akaona ajitulize kwa dogo Harmonize ili afute kumbukumbu ya x wake wakati kimsingi anajiongezea matatizo kwasababu huyu dogo na kundi lake ni ma womanizer atamtumia nakumdampu huku akiwa kajishushia heshima na kujizidishia mkosi katika maisha yake.Sasa angetulia akapiga kazi kwani kwa mwanamke wa kichaga mapezi si kitu kwake zaidi ya pesa hasa akisha tendwa.
Naomba mtu wake wa karibu amfikishie.
My take:Wadada wa mjini msikurupukie wageni.
Wewe umewahi kugoma?jack hzo picha za uch ulivyokuwa wapgwa kwann haukugoma
Angewezaje kugoma wakati kasha sema alikuwa yuko chakari kwa pombe?ni vizuri tu kama ilikuwa ni kawaida ila kama ili husishwa na maswala ya kufanya kinyume hiyo itakuwa mbaya sana kwake.jack hzo picha za uch ulivyokuwa wapgwa kwann haukugoma
Kwa hiyo mwisho wa siku unakubaliana na umalaya wake..kwa hiyo wale wanaume wote waliompitia na mara moja aliwahi kubadilisha dini alikuwa anatendwa yeye tu? Kwa ufupi mi naona mapenzi ya huyu dada yanasukumwa na dhamira ya pesa na utamani..Hapo kwa chinga kafuata mipunga na kuosha jina lake lisipaukeHabari,
Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba.
Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo baada ya kuanza kutoka na mtoto mdogo Harmonize wakati ametoka kuchumbiwa hivi karibuni, mbaya zaidi kujiachia na mambo ya chumbani adhara na yule mtoto wa kimakonde ambaye ni mdogo wake na wala hawaendani.
Lakini jana nilipokua nachek take one ya Zamaradi ndipo nilipo muelewa Jack na kuona amepitia mateso makali sana kisaikolojia kupitia yule mchumba wake ambaye anaitwa mkongo, alikua too deeper kihisia kuonesha ni kiasi gani alimpenda yule jamaa na mbaya zaidi akimvumilia na kugombana na watu wake wa karibu kwa ajili yake, mwisho wa siku jamaa kumbe ni mme wa mtu na mtoto, tena bado yupo karibu na familia yake lakini nia yake amharibie maisha mtoto wa watu dada yangu mchaga mwenzangu.
Vitendo vya aibu kumpiga picha za uchi pengine hata kumrekodi na mengine mengi inaonekana amefanyiwa huyu dada na jamaa mkongo.
Jacky naye baada ya kuchanganywa mkongo akaona ajitulize kwa dogo Harmonize ili afute kumbukumbu ya x wake wakati kimsingi anajiongezea matatizo kwasababu huyu dogo na kundi lake ni ma womanizer atamtumia nakumdampu huku akiwa kajishushia heshima na kujizidishia mkosi katika maisha yake.Sasa angetulia akapiga kazi kwani kwa mwanamke wa kichaga mapezi si kitu kwake zaidi ya pesa hasa akisha tendwa.
Naomba mtu wake wa karibu amfikishie.
My take:Wadada wa mjini msikurupukie wageni.
Kula gwara mkuu umemaliza kila kituBongo muvi wote hata mahusiano yao ni muvi tu yaani hakuna uhalisia ndo maana katika watu wanaofel katika mahusiank kwa hapa bongo ni pamoja na hao bongo muvi sijajua matatizo yao ni ule umaarufu wa kuonekana kwenye kideo ama nini ukiachana na huyo Jacklyne bado wangine mapenzii yao ni maluwe luwe tu
Mkuu kwa mzingira hayo lazima itakuwa alizibua maji taka tu..hakuna namnaAngewezaje kugoma wakati kasha sema alikuwa yuko chakari kwa pombe?ni vizuri tu kama ilikuwa ni kawaida ila kama ili husishwa na maswala ya kufanya kinyume hiyo itakuwa mbaya sana kwake.
Wanaume siyo watu including your papa,brothers and all the so called men in your family,thats good.yan saiv mt ukiwa na bby wako unabid uwe makin wanaume cyo wat kabisa yan mt anategesha camera anakurecord mnavyo do cku mkiachana anakutishia kuwa anazirusha izo video ndo kilichomkuta jack kwa mcongo
Hawajielewi wote full maigizo na kupenda kujishow kwa watu akipata mpenz basi shida anakuwa kama limbuken akiachika anataka huruma kwa wananchi acha vijana wawakanyage tu hakuna namna wamekosa heshima kwa jamii hakuna mwanaume mwenye nia ya dhat ataenda kwa hao bongo muviKula gwara mkuu umemaliza kila kitu
na mwanaume yoyote atakae oa mwanamke wa bongo movie basi kichwa kimejaa tope..wamuulize Mh.Sadifa (MB)Hawajielewi wote full maigizo na kupenda kujishow kwa watu akipata mpenz basi shida anakuwa kama limbuken akiachika anataka huruma kwa wananchi acha vijana wawakanyage tu hakuna namna wamekosa heshima kwa jamii hakuna mwanaume mwenye nia ya dhat ataenda kwa hao bongo muvi
Na jamaa ameshamwambia kitu atachomfanyia atajuta...Unaanza kupigwa picha za uchi kama hukutaka mwenyewe
Kwa nilivyoona kipindi cha jana nahisi wolper hayuko sawa kiakili, aidha kwa stress au yanayomtokea katika maisha yake katika kipindi hiki chote. Hata uamuzi wa kuwa na harmonize (rajabu kama anavyomuita mwenyewe) sidhani kama ni sahihi kwake. Watu wake wa karibu wakae nae chini na kumpa ushauri utakaomweka sawa kiakili vinginevyo anaelekea kubaya.Habari,
Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba.
Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo baada ya kuanza kutoka na mtoto mdogo Harmonize wakati ametoka kuchumbiwa hivi karibuni, mbaya zaidi kujiachia na mambo ya chumbani adhara na yule mtoto wa kimakonde ambaye ni mdogo wake na wala hawaendani.
Lakini jana nilipokua nachek take one ya Zamaradi ndipo nilipo muelewa Jack na kuona amepitia mateso makali sana kisaikolojia kupitia yule mchumba wake ambaye anaitwa mkongo, alikua too deeper kihisia kuonesha ni kiasi gani alimpenda yule jamaa na mbaya zaidi akimvumilia na kugombana na watu wake wa karibu kwa ajili yake, mwisho wa siku jamaa kumbe ni mme wa mtu na mtoto, tena bado yupo karibu na familia yake lakini nia yake amharibie maisha mtoto wa watu dada yangu mchaga mwenzangu.
Vitendo vya aibu kumpiga picha za uchi pengine hata kumrekodi na mengine mengi inaonekana amefanyiwa huyu dada na jamaa mkongo.
Jacky naye baada ya kuchanganywa mkongo akaona ajitulize kwa dogo Harmonize ili afute kumbukumbu ya x wake wakati kimsingi anajiongezea matatizo kwasababu huyu dogo na kundi lake ni ma womanizer atamtumia nakumdampu huku akiwa kajishushia heshima na kujizidishia mkosi katika maisha yake.Sasa angetulia akapiga kazi kwani kwa mwanamke wa kichaga mapezi si kitu kwake zaidi ya pesa hasa akisha tendwa.
Naomba mtu wake wa karibu amfikishie.
My take:Wadada wa mjini msikurupukie wageni.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wadada wa mujini hasa hawa the so called bongo movie/fleva wanaishi kwa kujiuza direct/indirect.. Anyway hata Mimi nilimuonea Huruma sana akionekana ni mtu mwenye stress za hali ya juu kiasi hata mm mchunga mbuzi naweza kumuopoa kwa wakati huu.