Mateso ya Jackline Wolper

Mkuu funguka kidogo tupate darasa ....
 
ulizo mpga nan
[emoji35] it was joke, mbona umenuna, kwa kweli wanawake huwa mnawakati mgumu sana hasa ukimpenda mtu maana unaweza fanya kila kitu for aman hata hizo picha halafu end of the day mahusiano yanakata dah hapo chacha ndipo moyo unapo pata wakati mgumu kwenu....
 
Walahi lazima na mimi niopoe hata mdada wa bongo muvi/ bongo fleva mmoja kabla ya 2020 [emoji39][emoji39] ngoja nizichange, one day yes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…