Mateso ya magerezani yanawasaidia wafungwa kujirekebisha?

Mateso ya magerezani yanawasaidia wafungwa kujirekebisha?

Boss ulishakaa hata kituo ya police Kwa saa 24
Siku utakapokaa kituo ya police at least Kwa siku 2 utakuja kuandika huu Uzi vizur
Na utatoa hizo unazo andika kuwa" inasemekana"
I stayed in custody for 9 days and I came out as better person with enough characters
 
Boss ulishakaa hata kituo ya police Kwa saa 24
Siku utakapokaa kituo ya police at least Kwa siku 2 utakuja kuandika huu Uzi vizur
Na utatoa hizo unazo andika kuwa" inasemekana"
I stayed in custody for 9 days and I came out as better person with enough characters
Hehehehe nasikia mahabusu ndiko kunafanyika maombi na sala kuliko hata makanisani
 
Hakuna jela ambayo haina mateso na maisha magumu. Sema tu mateso na maisha magumu ni subjective, wewe unaweza ukaona mateso na mwengine asiweze kuona kama kuna mateso.

Me nadhani jela zetu zinakuwa na mazingira mabovu sababu hazina budget inayostahiki kuendeshea magereza kwa namna ya kisasa zaidi kama wenzetu. Budget ya wizara ya Mambo ya ndani is very shallow tbh.

Mimi binafsi kwa kutambua kwamba Jela ni kwa wote, natamani siku moja nijitolee Magodoro mapya mengi, angalau ya kutosha gereza moja la wilaya hii niliyopo. Mungu anisaidie uhai tu, naamini nitatimiza. Wengine pia mnaweza kufanya hivyo kwenye magereza mengine ili tuondoe hayo mazingira magumu.
 
Kunayoyote around hapa aliyewahi kula mvua nakwenda kutumikia kifungo?
Ukiwa mwanaume lazima uwe tayar kwa chochote muda wowote..

Nacho kumbuka ugali ulio pikwa kwa pumba maana mkuu wa gereza alikua anakoboa mahindi yanauzwa then zinapikwa PUMBA

Huu sio utani yaan Am 4 real
 
Japo uzi wako umetawaliwa na neno inasemekana ila nikuulize wewe swali rahisi tu,

Sikuombei mabaya ila mfano wewe ukifungwa na ukayakuta hayo mateso huko Jela,je utajirekebisha au utarudia tena kufanya makosa ili urudishwe huko tena?
1. Namshukuru Mungu kwa kuwa mpaka sasa sijawahi kuwekwa rumande wala kukaa gerezani

2. Namwamini Mungu kwamba ataendelea kuniepusha hayo

3. Hata kama magereza yangekuwa mazuri kama ya Ulaya, bado nisingetamani kufungwa hata siku moja. Gerezani ni pabaya. Sipataki.
 
Nimekaa gerezani kwa miaka kadhaa Ila nachelea kusema hayo ni kweli au sio kweli kwasababu ya gereza nililokuwepo na bahati mbaya nilikuwa na Askari wengi tuliopita wote sehemu Fulani kipindi Fulani hivyo haikunifanya nionje hali halisi ya story ninazozisikia huku uraiani.

Ila nachoweza kusema ulinde sana Uhuru wako
 
Kwa kiasi kikubwa wengi wetu tunaishi ndani ya 'psych prison'

PSYCH PRISON kwenye kila kitu nikama gereza mfano ukisoma seminary Ni gereza, kufuata Imani ya dini Ni gereza, kwenda kazini Ni gereza, kuish na familia na watoto Ni Kama gereza Mambo mengi kwetu Ni mwendo wa gereza..
 
Back
Top Bottom