Mateso ya magerezani yanawasaidia wafungwa kujirekebisha?

Mateso ya magerezani yanawasaidia wafungwa kujirekebisha?

Gereza siyo tu kwa ajili ya kuwarekebisha wafungwa.

Hao ni watu ambao kimsingi wamepoteza haki ya kuishi uraiani na wanatumikia ADHABU zao kwa mujibu wa sheria.

Msingi wa yote ni kutumikia adhabu, ndipo mengine hufuata.

Mfungwa asipobadilika tabia baada ya kutumikia adhabu yake kifungoni, bado sheria itahesabika kwamba imefuatwa na kutekelezwa ipasavyo.
 
kuna uzi hupo humu ndani unaekezea maisha ya gerezani sema nimesahau ni thread ya nani
 
Kipimo cha maendeleo na ustaarabu wa nchi ni hali ya magereza yake. Sio flyovers au maghorofa.

Amandla...
 
Back
Top Bottom