Gereza siyo tu kwa ajili ya kuwarekebisha wafungwa.
Hao ni watu ambao kimsingi wamepoteza haki ya kuishi uraiani na wanatumikia ADHABU zao kwa mujibu wa sheria.
Msingi wa yote ni kutumikia adhabu, ndipo mengine hufuata.
Mfungwa asipobadilika tabia baada ya kutumikia adhabu yake kifungoni, bado sheria itahesabika kwamba imefuatwa na kutekelezwa ipasavyo.