Mateso ya Masheikh wetu

Mateso ya Masheikh wetu

Status
Not open for further replies.
Kwani nyie Mungu wenu kawaagiza kutafuta nini duniani hapa hicho 'ambacho wengine wanakipata' na mtakwenda nacho huko peponi?
HAKI ipi mnaitaka duniani hapa na nani haonewi?

Ghost worker ???!!--- Can he speak materials??!!
 
Hivi kweli watu wanaweza kuonewa hivi bila hatia?,mwenye kuweza kututhibitishia hawa jamaa hawana makosa afanye hivyo pia atukumbushe nini kilitokea hata wakawa huko waliko.
 
Mzee wangu habari yako.

Naomba kusema kuwa mimi siungi mkono kabisa unyanyasaji huo kama kweli unafanywa dhidi yao.

Pili naomba kukuuliza mzee wangu kuwa hawa mashekhe wakati wanahubiri unadhani walikuwa wanatumia haki ya kikatiba vizuri ?

Mwamposa alipo sababisha mauaji kule moshi-Kilimanjaro unadhani alitumia haki yake ya kikatiba vizuri?
Mwamposa yupo gerezani?

Gwajima alipotukana uislamu na waislamu unadhani alitumia haki yake kikatiba vizuri?
Gwajima yupo gerezani?
 
Sheikh Mohammed Allah akulipe kila lakheri!

Ni wachache sana wenye imani na huruma kama wewe, siku hizi waislamu JINA wako wengi tu, utamuona mtu kakuvalia kanzu na kofia kumbe mnafiq mkubwa, ndio ujue wengi wao wako kimaslahi na si kwa ajili ya Allah na kuwasaidia waislam.

Kikwete na Mohamed shein wote hawa ni waislamu, je walishindwa nini kuwatoa hawa masheikh kama ni waumini wakweli na wanamuogopa Allah SW! Viongozi wa bakwata pia kazi kumsifia mkulu tu mpaka anatolewa mfano kwa manabii, huku wamekaa kimya kuhusu masheikh.

Ivyo Waumini ni wachache sana, wengi wao wapo kidunia tu.
Bakwata siyo waislamu ni taasisi iliyojichimbia mizizi ndani ya usalama wa nchi
 
Amani ya nchi hii ni bora mara mia kuliko uhai wa magaidi wachache. Bado nasisitiza hawa wanyongwe haraka. Wewe mleta mada funga domo kabisa yaani hata usiote tena hoja kama hizi. Msitumie uislamu kama kichaka. Huyo Ponda mwenyewe wanamlea sana angeshatua ahera long time. AMANI YA TANZANIA NI BORA KUKIKO DINI. Povu ruksa.
Mwana Ccm kindakindaki uhai wa mtu kwako si kitu
 
Binafsi sipendi wanachofanyiwa hawa masheikh kama wana makosa wafungwe tu haiwezekani miaka 7 mtu anafanyiwa upelelezi hili linaleta ukakasi wa hali ya juu.
Nchi yetu inaendeshwa na sheria, katiba kama wana makosa sheria zifuatwe wafungwe siyo mateso na manyanyaso
 
Hivi kweli watu wanaweza kuonewa hivi bila hatia?,mwenye kuweza kututhibitishia hawa jamaa hawana makosa afanye hivyo pia atukumbushe nini kilitokea hata wakawa huko waliko.
Kama wana makosa wafungwe hakuna anayesema hawana makosa ama wana makosa lakini wapo ndani kwa miaka 7 kwanini hivyo?
Kama hakuna ushahidi wowote wa kuwatia hatiani wawaachie huru,
Kama kuna ushahidi wowote wa kuwatia hatiani wafungwe.
 
Wasisite ndugu zetu waislamu waichague CHADEMA ili Tundu Lissu akiingia awatoe Masheikh/Viongozi wa Dini ya kiislamu wanaoteseka JELA.
 
Kama wana makosa wafungwe hakuna anayesema hawana makosa ama wana makosa lakini wapo ndani kwa miaka 7 kwanini hivyo?
Kama hakuna ushahidi wowote wa kuwatia hatiani wawaachie huru,
Kama kuna ushahidi wowote wa kuwatia hatiani wafungwe.
Hapo nimekuelewa chief
 
Mkuu ni haki gani hizo waislam wamenyimwa tangu tupate Uhuru na wengine/wakristo wamepewa? Hoja zenu zinakosa nguvu sababu ya ubinafsi wenu kama dini wakati madhara ya hizi tawala dhalimu tunayapata watz wote bila kujali dini zetu, ila nyie waislam mnakuja kutuhumu wakristo yuko favoured hapo ndo mnapo haribu kila kitu!
 
Sheikh Mohammed Allah akulipe kila lakheri!

Ni wachache sana wenye imani na huruma kama wewe, siku hizi waislamu JINA wako wengi tu, utamuona mtu kakuvalia kanzu na kofia kumbe mnafiq mkubwa, ndio ujue wengi wao wako kimaslahi na si kwa ajili ya Allah na kuwasaidia waislam.

Kikwete na Mohamed shein wote hawa ni waislamu, je walishindwa nini kuwatoa hawa masheikh kama ni waumini wakweli na wanamuogopa Allah SW! Viongozi wa bakwata pia kazi kumsifia mkulu tu mpaka anatolewa mfano kwa manabii, huku wamekaa kimya kuhusu masheikh.

Ivyo Waumini ni wachache sana, wengi wao wapo kidunia tu.

Hakuna cha Kidunia sana wala nini ndugu zangu waislam, Mohammed shein na Kikwete hawa wote ni waislam kama kile walichokihubiri kweli ilikuwa halali basi wangekuwa wameshatolewa gerezani.

Serikali sio wajinga kuendelea kuwashikilia hawa watu, ni kwa sababu waligundua kuwa hawa watu wanahatarisha Amani ya JMT kwa kueneza uchochezi kwa kutumia tofauti za dini.

Ninayo kubwa sana na serikali ya Tanzania visiwani na hii ya Tanzania Bara. Hawa watu kama wangekuwa wanahubiri haki amani basi wangekuwa washatolewa. Acha watumikie kile walichokuwa wanakitafuta.
 
Amani ya nchi hii ni bora mara mia kuliko uhai wa magaidi wachache. Bado nasisitiza hawa wanyongwe haraka. Wewe mleta mada funga domo kabisa yaani hata usiote tena hoja kama hizi. Msitumie uislamu kama kichaka. Huyo Ponda mwenyewe wanamlea sana angeshatua ahera long time. AMANI YA TANZANIA NI BORA KUKIKO DINI. Povu ruksa.

Naunga mkono hoja.!
Amani yetu watanzania, Zanzibar na Tanganyika, ni muhimu mnooo kuliko chochote. Kama kweli hawa watu walikuwa wanajuhusisha na shughuli zilizokuwa zinahatarisha Amani ya Nchi yetu ni bora kifanyike hicho
 
Kuanzia wamekamatwa hao wahuni magaidi umesikia padre kapigwa risasi ?! Watu wamemwagiwa tindikali hasa watalii na viongozi kama shea wa Tomondo! Makanisa na ofisi za serikali kuchomwa moto. Unguja na Pemba sasa hivi Amani teleee. Waozee humo humo au wauawe kabisa.
 
Watu hawapingi "mtuhumiwa" kukamatwa, watu wanahoji kwamba leo ni takriban miaka 7 wapo MAHABUSU bila kufikishwa mahakamani!!!.

Katika nchi inayoheshimu utawala wa sheria na haki za binadamu ni lazima vyombo vya haki vitende kazi zao kwa haki na mahakama ndiyo inaweza kuwapa haki hao watuhumiwa, haki maana yake wapekekwe mahakamani juu ya hayo mashitaka na wakikutwa na hatia wahukumiwe au laa basi waachiliwe huru, hicho ndicho watu tunahoji.

Kumbuka pia hao ni Baba, waume, kaka, viongozi nk katika jamii zao.

Kuwaweka watu mahabusu bila kuwapeleka mahakamani ni jambo baya linapozoeleka katika nchi, inawezekana katika hali hiyo watu wengi wasiokuwa na hatia wakawekwa mahabusu kwa kusingiziwa tu au kwa chuki binafsi au kwa hisia za kuchukua kimada wa kiongozi mkubwa fulani nk, hilo ni jambo la hatari na la kupingwa kwa nguvu zetu zote kwani leo ni kwa masheikh kesho ni kwako au kwa nduguyo.

Mamlaka zisizofuata sheria ndiyo chanzo kimoja cha kuvunjika kwa amani na hatimaye kuvunjika kwa nchi.

Ndugu FISi, hapo nadhani utakuwa umeelewa msingi wa watu kulalamika.
 
Mwaposa alipo sababisha mauaji kule moshi-Kilimanjaro unadhani alitumia haki yake ya kikatiba vizuri?
Mwaposa yupo gerezani?

Gwajima alipotukana uislamu na waislamu unadhani alitumia haki yake kikatiba vizuri?
Gwajima yupo gerezani?
Mkuu mbona mimi sijakusudia shari ?

Mimi nawazungumzia muamsho na huyu mzee wetu.

Tafadhali sana ndugu,hujui lengo langu,bora ukasubiri kwanza
 
Amani ya nchi hii ni bora mara mia kuliko uhai wa magaidi wachache. Bado nasisitiza hawa wanyongwe haraka. Wewe mleta mada funga domo kabisa yaani hata usiote tena hoja kama hizi. Msitumie uislamu kama kichaka. Huyo Ponda mwenyewe wanamlea sana angeshatua ahera long time. AMANI YA TANZANIA NI BORA KUKIKO DINI. Povu ruksa.
Allah akulipe kwa hayo maneno.

Na assume ungekaa wew miaka 7 au ndugu yako.... sio kucoment coment tyuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom