dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Amani ya nchi hii ni bora mara mia kuliko uhai wa magaidi wachache. Bado nasisitiza hawa wanyongwe haraka. Wewe mleta mada funga domo kabisa yaani hata usiote tena hoja kama hizi. Msitumie uislamu kama kichaka. Huyo Ponda mwenyewe wanamlea sana angeshatua ahera long time. AMANI YA TANZANIA NI BORA KUKIKO DINI. Povu ruksa.
Allah akulipe kwa hayo maneno.
Na assume ungekaa wew miaka 7 au ndugu yako.... sio kucoment coment tyuu.
Hao ni magaidi na wafie hukohuko rumande, tangu wawe rumande saivi hali ni shwari.....Nyapala endeleeni kula tundu la hao magaidi huko Jela.
Hao ni magaidi na wafie hukohuko rumande, tangu wawe rumande saivi hali ni shwari.....Nyapala endeleeni kula tundu la hao magaidi huko Jela.
Maswahibu anayopitia sheikh Ponda yananifanya nikumbuke hii sentesi
Justice at any coast. Allah atamsaidia.
Kuanzia wamekamatwa hao wahuni magaidi umesikia padre kapigwa risasi ?! Watu wamemwagiwa tindikali hasa watalii na viongozi kama shea wa Tomondo! Makanisa na ofisi za serikali kuchomwa moto. Unguja na Pemba sasa hivi Amani teleee. Waozee humo humo au wauawe kabisa.Watu hawapingi "mtuhumiwa" kukamatwa, watu wanahoji kwamba leo ni takriban miaka 7 wapo MAHABUSU bila kufikishwa mahakamani!!!.
Katika nchi inayoheshimu utawala wa sheria na haki za binadamu ni lazima vyombo vya haki vitende kazi zao kwa haki na mahakama ndiyo inaweza kuwapa haki hao watuhumiwa, haki maana yake wapekekwe mahakamani juu ya hayo mashitaka na wakikutwa na hatia wahukumiwe au laa basi waachiliwe huru, hicho ndicho watu tunahoji.
Kumbuka pia hao ni Baba, waume, kaka, viongozi nk katika jamii zao.
Kuwaweka watu mahabusu bila kuwapeleka mahakamani ni jambo baya linapozoeleka katika nchi, inawezekana katika hali hiyo watu wengi wasiokuwa na hatia wakawekwa mahabusu kwa kusingiziwa tu au kwa chuki binafsi au kwa hisia za kuchukua kimada wa kiongozi mkubwa fulani nk, hilo ni jambo la hatari na la kupingwa kwa nguvu zetu zote kwani leo ni kwa masheikh kesho ni kwako au kwa nduguyo.
Mamlaka zisizofuata sheria ndiyo chanzo kimoja cha kuvunjika kwa amani na hatimaye kuvunjika kwa nchi.
Ndugu FISi, hapo nadhani utakuwa umeelewa msingi wa watu kulalamika.
Allah akulipe kwa hayo maneno.
Na assume ungekaa wew miaka 7 au ndugu yako.... sio kucoment coment tyuu.
Wa kulaumiwa sana katika hii kadhia ya Masheikh ni Rais wa Zanzibar Dr Shein, kwani yeye anao uwezo wa kusema Masheikh hao warudishwe Zanzibar kuhukumiwa au wapewe dhamana huko Zanzibar au waachiliwe.
Bara tumekuwa kama "dog" tuliyeamrishwa na "master" wetu Zanzibar kuwafunga watuhumiwa kinyume na haki kwa miaka 7.
Shame on Us.
Kuanzia wamekamatwa hao wahuni magaidi umesikia padre kapigwa risasi ?! Watu wamemwagiwa tindikali hasa watalii na viongozi kama shea wa Tomondo! Makanisa na ofisi za serikali kuchomwa moto. Unguja na Pemba sasa hivi Amani teleee. Waozee humo humo au wauawe kabisa.
Kuanzia wamekamatwa hao wahuni magaidi umesikia padre kapigwa risasi ?! Watu wamemwagiwa tindikali hasa watalii na viongozi kama shea wa Tomondo! Makanisa na ofisi za serikali kuchomwa moto. Unguja na Pemba sasa hivi Amani teleee. Waozee humo humo au wauawe kabisa.
Hao ni magaidi na wafie hukohuko rumande, tangu wawe rumande saivi hali ni shwari.....Nyapala endeleeni kula tundu la hao magaidi huko Jela.
Lawama ziwaendee Sheikh Ahad Salum wa Dsm pamoja na Mufti kwa kuamua kushirikiana bega kwa bega na serikaki kandamizi
Hao ni watu wa usalama TISS hakuna usheikh wala dini hapoLawama ziwaendee Sheikh Ahad Salum wa Dsm pamoja na Mufti kwa kuamua kushirikia bega kwa bega na serikaki kandamizi
Nakubaliana na wewe kuwa si kosa kuitaadhalisha serikali inapofanya makosa na pia wa kuogopwa ni Allah yes na tukubaliane sasa kuwa hii ni serikali ya kidhalimu kwasababu tayari imekwisha kuwadhulumu watu uhuru wao mchana kweupe.Capitano,
Nani wa kuogopwa?
Allah au binadamu?
Nikamatwe kwa kosa gani?
Nikamatwe kwa kuikumbusha serikali kuwa inafanya makosa yanayohitaji kurekebishwa?
Hili si kosa.
Ikiwa serikali itanikamata kwa kuitahadharisha basi itakuwa serikali ya kidhalimu.
Mshukuruni JK lasivyo wangeshakua marehemu na kuwasahau.
nasema hivii watatunzwa Hadi pale tutapoona sio kitisho tena
Sheikh Abud rugo wa Mombasa marehem uamsho ndani cost imetulia
Hakuna cha Kidunia sana wala nini ndugu zangu waislam, Mohammed shein na Kikwete hawa wote ni waislam kama kile walichokihubiri kweli ilikuwa halali basi wangekuwa wameshatolewa gerezani.
Serikali sio wajinga kuendelea kuwashikilia hawa watu, ni kwa sababu waligundua kuwa hawa watu wanahatarisha Amani ya JMT kwa kueneza uchochezi kwa kutumia tofauti za dini.
Ninayo kubwa sana na serikali ya Tanzania visiwani na hii ya Tanzania Bara. Hawa watu kama wangekuwa wanahubiri haki amani basi wangekuwa washatolewa. Acha watumikie kile walichokuwa wanakitafuta.