Mateso ya Masheikh wetu

Mateso ya Masheikh wetu

Status
Not open for further replies.
Amani ya nchi hii ni bora mara mia kuliko uhai wa magaidi wachache. Bado nasisitiza hawa wanyongwe haraka. Wewe mleta mada funga domo kabisa yaani hata usiote tena hoja kama hizi. Msitumie uislamu kama kichaka. Huyo Ponda mwenyewe wanamlea sana angeshatua ahera long time. AMANI YA TANZANIA NI BORA KUKIKO DINI. Povu ruksa.

Mhhh! Ndiomaana ukajiita fisi,,,nadhani akili za fisi unazijua
 
Hao ni magaidi na wafie hukohuko rumande, tangu wawe rumande saivi hali ni shwari.....Nyapala endeleeni kula tundu la hao magaidi huko Jela.
 
Watu hawapingi "mtuhumiwa" kukamatwa, watu wanahoji kwamba leo ni takriban miaka 7 wapo MAHABUSU bila kufikishwa mahakamani!!!.

Katika nchi inayoheshimu utawala wa sheria na haki za binadamu ni lazima vyombo vya haki vitende kazi zao kwa haki na mahakama ndiyo inaweza kuwapa haki hao watuhumiwa, haki maana yake wapekekwe mahakamani juu ya hayo mashitaka na wakikutwa na hatia wahukumiwe au laa basi waachiliwe huru, hicho ndicho watu tunahoji.

Kumbuka pia hao ni Baba, waume, kaka, viongozi nk katika jamii zao.

Kuwaweka watu mahabusu bila kuwapeleka mahakamani ni jambo baya linapozoeleka katika nchi, inawezekana katika hali hiyo watu wengi wasiokuwa na hatia wakawekwa mahabusu kwa kusingiziwa tu au kwa chuki binafsi au kwa hisia za kuchukua kimada wa kiongozi mkubwa fulani nk, hilo ni jambo la hatari na la kupingwa kwa nguvu zetu zote kwani leo ni kwa masheikh kesho ni kwako au kwa nduguyo.

Mamlaka zisizofuata sheria ndiyo chanzo kimoja cha kuvunjika kwa amani na hatimaye kuvunjika kwa nchi.

Ndugu FISi, hapo nadhani utakuwa umeelewa msingi wa watu kulalamika.
Kuanzia wamekamatwa hao wahuni magaidi umesikia padre kapigwa risasi ?! Watu wamemwagiwa tindikali hasa watalii na viongozi kama shea wa Tomondo! Makanisa na ofisi za serikali kuchomwa moto. Unguja na Pemba sasa hivi Amani teleee. Waozee humo humo au wauawe kabisa.
 
Allah akulipe kwa hayo maneno.


Na assume ungekaa wew miaka 7 au ndugu yako.... sio kucoment coment tyuu.

Nawewe assume ndugu yako angevhomewa nyumba au kupigwa hadi kuuawa kwa sababu ni Mkristo au wewe mwenyewe ukauawa. Waacheni wanyee debe tu hiyo ndio dawa yao
 
Wa kulaumiwa sana katika hii kadhia ya Masheikh ni Rais wa Zanzibar Dr Shein, kwani yeye anao uwezo wa kusema Masheikh hao warudishwe Zanzibar kuhukumiwa au wapewe dhamana huko Zanzibar au waachiliwe.

Bara tumekuwa kama "dog" tuliyeamrishwa na "master" wetu Zanzibar kuwafunga watuhumiwa kinyume na haki kwa miaka 7.

Shame on Us.


Dunia inawashughulisha ndio maana wapo kimya mpaka leo, si kikwete wala shein wote lwao moja, wanakula bata na familia zao huku dungu zao wanapata mateso makubwa,,, Allah atawalipa!
 
Kuanzia wamekamatwa hao wahuni magaidi umesikia padre kapigwa risasi ?! Watu wamemwagiwa tindikali hasa watalii na viongozi kama shea wa Tomondo! Makanisa na ofisi za serikali kuchomwa moto. Unguja na Pemba sasa hivi Amani teleee. Waozee humo humo au wauawe kabisa.

Maneno yasio na hekma/busara,, Ndio maana ukajiita BOYA
 
Kuanzia wamekamatwa hao wahuni magaidi umesikia padre kapigwa risasi ?! Watu wamemwagiwa tindikali hasa watalii na viongozi kama shea wa Tomondo! Makanisa na ofisi za serikali kuchomwa moto. Unguja na Pemba sasa hivi Amani teleee. Waozee humo humo au wauawe kabisa.

Maneno yasio na hekma/busara,, Ndio maana ukajiita BOYA
 
Capitano,
Nani wa kuogopwa?

Allah au binadamu?
Nikamatwe kwa kosa gani?

Nikamatwe kwa kuikumbusha serikali kuwa inafanya makosa yanayohitaji kurekebishwa?

Hili si kosa.

Ikiwa serikali itanikamata kwa kuitahadharisha basi itakuwa serikali ya kidhalimu.
Nakubaliana na wewe kuwa si kosa kuitaadhalisha serikali inapofanya makosa na pia wa kuogopwa ni Allah yes na tukubaliane sasa kuwa hii ni serikali ya kidhalimu kwasababu tayari imekwisha kuwadhulumu watu uhuru wao mchana kweupe.
Pia nadhani hatuna kitu kinacchoitwa bunge nchi hii maana kunawezaje kupitishwa sheria kama ile sijui ya uhujumu uchumi ati unafungwa kwanza kujitetetea au kusikilizwa baadae. Mtanzania kwa sheria ile akizaliwa tu ni guilty till proven innocent yaaani kinyume kabisaaa
 
Mshukuruni JK lasivyo wangeshakua marehemu na kuwasahau.
nasema hivii watatunzwa Hadi pale tutapoona sio kitisho tena

Sheikh Abud rugo wa Mombasa marehem uamsho ndani cost imetulia


Mwaposa alipo sababisha mauaji kule moshi-Kilimanjaro unadhani alitumia haki yake ya kikatiba vizuri?

Mwaposa yupo gerezani?

Gwajima alipotukana uislamu na waislamu unadhani alitumia haki yake kikatiba vizuri?

Gwajima yupo gerezani ?
 
Hakuna cha Kidunia sana wala nini ndugu zangu waislam, Mohammed shein na Kikwete hawa wote ni waislam kama kile walichokihubiri kweli ilikuwa halali basi wangekuwa wameshatolewa gerezani.
Serikali sio wajinga kuendelea kuwashikilia hawa watu, ni kwa sababu waligundua kuwa hawa watu wanahatarisha Amani ya JMT kwa kueneza uchochezi kwa kutumia tofauti za dini.
Ninayo kubwa sana na serikali ya Tanzania visiwani na hii ya Tanzania Bara. Hawa watu kama wangekuwa wanahubiri haki amani basi wangekuwa washatolewa. Acha watumikie kile walichokuwa wanakitafuta.

Lini wakutwa na kosa Mahakamani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom