Mateso ya Mdude Nyagali ndani ya kuta za Gereza la Ruanda

Wapumbavu woote wamejaa ngeo vichwani na usoni.lkn wenye hakika woote wana sura zao halisi.mdude nyangali anapata stahiki yake,tuache ushabiki,mdude alikuwa anautumia vibaya ndomo wake,na mdomo uliponza kichwa,wachina wana msemo mmoja,mdomo ni siraha kubwa sn ukiutumia vzr unaweza kujiokoa katkati ya jeshi kubwa la wanajeshi 1000,lkn pia mdomo ukiutumia vibaya unaweza kupoteza kichwa chako,
 
Nimesoma hii thread huku machozi yakinilengalenga .
Hii nchi tulishafika sehemu mbaya sana yaani mtu unakosa uhakika wa kesho yako.

Tumuombe rais Mama Samia ahakikishe huu uonevu uliosimikwa nchini mwetu anauondosha kabisa .

Bora Magufuli kafa na atakuwa kwa shetani sasa hivi
 
Duniani kuna Watu kama Mdude ambao husimama na kukemea Tawala za mabavu

Bila watu kama hawa hii dunia ingekuwa ni Bustani ya Madikteta
 
Wapumbavu woote wamejaa ngeo vichwani na usoni.lkn wenye hakika woote wana sura zao halisi.mdude nyangali anapata stahiki yake,tuache ushabiki,mdude alikuwa anautumia vibaya ndomo wake,na mdomo uliponza kichwa,wachina wana msemo mmoja,mdomo ni siraha kubwa sn ukiutumia vzr unaweza kujiokoa katkati ya jeshi kubwa la wanajeshi 1000,lkn pia mdomo ukiutumia vibaya unaweza kupoteza kichwa chako,
Kama mdomo umemponza why apewe kesi ya madawa ya kulevya? Kwanini asifungwe kwa uchochezi au lugha chafu!!

Hii tabia ya kubambikizia watu kesi haipaswi kuungwa mkono na yeyote maana sio haki kabisa.

Sugu na lema walikuwa lock up kwa Uchochezi why hyu iwe madawa? Mkuu usi support hili, siku unaweza chepuka na mke wa mtu afu ukapewa kesi ya ujambazi wa silaha ndio utaelewa inavyouma
 
Tukaachana naye kulikabili Gereza la Songwe lililopo zaidi ya kilometa 100 kutoka mjini mbeya wanakoshikiliwa wapiganaji wenzetu wapatao 60, kati yao wanaume 53 na wanawake 7 Gereza la Songwe. Wengi wao wakituhumiwa wa kesi za mauaji na uhujumu uchumi.
Sasa hawa wote waliofungwa kwa kubambikiwa makosa ya uongo kwa sababu tu ya kupigania Demokrasia
 
Umesahau kuwa katika dunia hii iitwayo uwanja wa fujo kila mtu ni mfungwa mtarajiwa.

Nakushauri sana ndugu yangu usikebehi mahabusu au mfungwa.
Muombe sana mungu asikupe kiburi cha kutenda hiyo dhambi.
Jichunge usifanye fujo na hiyo ndio fimbo ya wanyonge cc
 
Kama mdomo umemponza why apewe kesi ya madawa ya kulevya? Kwanini asifungwe kwa uchochezi au lugha chafu!!

Hii tabia ya kubambikizia watu kesi haipaswi kuungwa mkono na yeyote maana sio haki kabisa.

Sugu na lema walikuwa lock up kwa Uchochezi why hyu iwe madawa? Mkuu usi support hili, siku unaweza chepuka na mke wa mtu afu ukapewa kesi ya ujambazi wa silaha ndio utaelewa inavyouma
Lkn pia bro tutumie lugha za busara hata tunapowakosoa watu tusiokubaliana nao,lugha ngumu na zenye ukakasi kuleta mgogoro,hata km ni ktk familia,mdude alivuka kiwango,
 
Kama mdomo umemponza why apewe kesi ya madawa ya kulevya? Kwanini asifungwe kwa uchochezi au lugha chafu!!

Hii tabia ya kubambikizia watu kesi haipaswi kuungwa mkono na yeyote maana sio haki kabisa.

Sugu na lema walikuwa lock up kwa Uchochezi why hyu iwe madawa? Mkuu usi support hili, siku unaweza chepuka na mke wa mtu afu ukapewa kesi ya ujambazi wa silaha ndio utaelewa inavyouma
Huyo unayemuelewesha ni sawa na nyoka asiyeona.
 
Back
Top Bottom