Mateso ya Mdude Nyagali ndani ya kuta za Gereza la Ruanda

Mateso ya Mdude Nyagali ndani ya kuta za Gereza la Ruanda

Usiropoke usichokijua Jpm alitenda mambo mema na alitubu kabla ya kufa sasa jiulize wewe utapata hiyo nafasi ya kutubu sio kumtabiria mtu mwenye Jehanum kwa mihemko ya chuki naushabiki wa upinzani
Jidanganye tu, Kutubu mpaka aliowaumiza wa msamehe, na Dhambi ya kuua haifutiki Ng'o... Mmmae zake..
Ni vitasa tu adhabu kaburi.
 
Nani alumuuua?
Unauliza majibu, Listi ni ndefu sana. Ametuua wengi sana hasa sisi CHADEMA na hatutamsamehe.
Jinsi alivyo muua Kamanda Mawazo kinyama namna ile, Ben Saanane na wenginaeo weeengiiiii.
Mwache achezee vitasa kaburini.
 
Back
Top Bottom