Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mzee baba hawa wapinzani wameshafanya watu wote wajinga. Michango ya wabunge miaka 5 imeliwa, michango iliyochangishwa wakati wa uchaguzi mkuu pia imeliwa, sasa wanakuja na style nyingine ya kumtumia mdude kama kivutio cha kupiga hela zingine kutoka ktk mifuko ya wajingaTulitembelea hilo gereza kuwaona hao kina mdude na wafungwa wengine. Kimsingi, mdude ana afya njema kabisa wala hajawawahi kuteswa kama inavyoelezwa, hachechemei wala kuburuza miguu. malalamiko yake ni hayo ya kubambikiwa kesi. Kwahiyo, Huu ni uongo uliotukuka, ili kuwafanya mtoe michango. hayo machozi yanayokulenga bora ungewalilia na kuwakumbuka ndugu zako waliotangulia mbele za haki.
Kumbe bora yake mdude aliyeko jela
Hizo propaganda hazikusaidii KITU,ziko cheap Sana,chamsingi ENDELEA kuwadanganya wanna LUMUMBA WENZAKO...ILA KAA UKIJUA UFIRAUNI NA UKATILI WENU TUNAUJUA....SIKUSHANGAI ,NA NDIO MAANA UNAITWA DUDUMIZI(ndege asiye na kiota)Hao uliowataja hapo juu muulize mwenyekiti wenu. Mara nyingi anapotafuta kiki au huruma ya kisiasa, huwa anatuma kikosi chake cha wanywa viloba wakamdhuru mtu fulani ili baadae wahamishie unyama huo walioufanya kwa serikali. Ni nani mwenye akili timamu hayajui haya? Mwaka uliopita mwenyekiti alichezea kichapo bar baada ya kukutwa na dem wa mtu lkn baadae akaja na kelele zake kuwa serikali ilimtumia watu wasiojulikana kumdhuru. Mungu alikupa akili ili uitumie mwenyew, lkn cha kushangaza akili yako umemkabidhi mwenyekiti wako akuwekee!
Hata wewe utakufa siku moja kila nafsi itaonja mautiKwakweli siku niliyosikia kafaya kadondoka nilikula sana vitu yan nlikuwa na furaha isiyoelezeka kafaya siji kumsamehe mpaka nakufa
Hata wewe utakufa siku moja kila nafsi itaonja mauti
Hivi unajua Chacha Wangwe aliuwawa na nani? Unajua kifo chake kilisababishwa na nini? Unajua ni kwanini Zito alifukuzwa kama Mbwa na Chadema? Unajua alifukuzwa kwa sababu gani? Unajua ni kwanini Mbowe alimwambia Sumaye na wengine waliojifanya kugombea uenyekiti wa chama kuwa "sumu haionjwi kwa ulimi' unajua alichomaanisha ktk hayo maneno? Ukitumia akili yako vizuri( hapa namaanisha achana na ile akili uliyopewa na mwenyekiti wako wa chama) utaelewa ni kwanini watu wanauwawa hovyo huko ktk chama chenu afu zigo la dhambi inatupiwa serikali. Onganisha doti kwa hayo matukio niliyokuandikia hapo juu na mengine ya kina ben saa8 kutoweka baada ya kuachana na mwenyekiti masaa kadhaa kabla ya kutoweka kwake, utanielewaHizo propaganda hazikusaidii KITU,ziko cheap Sana,chamsingi ENDELEA kuwadanganya wanna LUMUMBA WENZAKO...ILA KAA UKIJUA UFIRAUNI NA UKATILI WENU TUNAUJUA....SIKUSHANGAI ,NA NDIO MAANA UNAITWA DUDUMIZI(ndege asiye na kiota)
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
halafu mwenyekiti wala huwaga haongeleagi sana mambo ya kina saa nane maana anajuwa alichowafanya mnabaki nyie huku nje sasa msio na upeo wa kupambanua mnatoana jasho na serikali eti yuko wapi saa nane muulizeni vizuri mbowe kampeleka wapi soma dudumizi alivyowaambia mwenye akili ataelewa asiye na akili aendelee kuuliza serikaliniHivi unajua Chacha Wangwe aliuwawa na nani? Unajua kifo chake kilisababishwa na nini? Unajua ni kwanini Zito alifukuzwa kama Mbwa na Chadema? Unajua alifukuzwa kwa sababu gani? Unajua ni kwanini Mbowe alimwambia Sumaye na wengine waliojifanya kugombea uenyekiti wa chama kuwa "sumu haionjwi kwa ulimi' unajua alichomaanisha ktk hayo maneno? Ukitumia akili yako vizuri( hapa namaanisha achana na ile akili uliyopewa na mwenyekiti wako wa chama) utaelewa ni kwanini watu wanauwawa hovyo huko ktk chama chenu afu zigo la dhambi inatupiwa serikali. Onganisha doti kwa hayo matukio niliyokuandikia hapo juu na mengine ya kina ben saa8 kutoweka baada ya kuachana na mwenyekiti masaa kadhaa kabla ya kutoweka kwake, utanielewa
Vijana wa upinzani aka "nyumbu" wengi wapo humu kwa ajili ya malipo madogo ya bando za bure. Inamaana mtu ata akija kumwaga matapishi yake hapa bila kushirikisha akili yake mwenyewe (kumbuka wengi wanashikiwa akili na mwenyekiti) basi ataonekana shujaa na malipo ni bando la bukuhalafu mwenyekiti wala huwaga haongeleagi sana mambo ya kina saa nane maana anajuwa alichowafanya mnabaki nyie huku nje sasa msio na upeo wa kupambanua mnatoana jasho na serikali eti yuko wapi saa nane muulizeni vizuri mbowe kampeleka wapi soma dudumizi alivyowaambia mwenye akili ataelewa asiye na akili aendelee kuuliza serikalini
Dada na ww mjanja mzima unakubali kuingizwa chaka na wanywa gongo. Hapo inatafutwa njia ya kumtumia Mdude kama fursa ya kupiga ela kupitia michango ya watu watakaoguswa kama ww, shtuka dada angu!Roho inauma sana
Usiwe kama yule mfarisayo aliyejikweza yeye ni mwema kuliko mtoza ushuru ndugu alijikwezaye atashushwakweli ila mimi sina roho mbaya kama ya kafire na nikuulize hii ni reminder au nini ? Ulishindwa kumkumbusha kafire wakari mzima ili afanye mema unakuja kunikumbusha mimi ?
Usiropoke usichokijua Jpm alitenda mambo mema na alitubu kabla ya kufa sasa jiulize wewe utapata hiyo nafasi ya kutubu sio kumtabiria mtu mwenye Jehanum kwa mihemko ya chuki naushabiki wa upinzaniYupo Jahanamu anakula adhabu ya kaburi... DADEKI..
Usiropoke usichokijua Jpm alitenda mambo mema na alitubu kabla ya kufa sasa jiulize wewe utapata hiyo nafasi ya kutubu sio kumtabiria mtu mwenye Jehanum kwa mihemko ya chuki naushabiki wa upinzani
Hakuna aliyeko jehanam kwa sasa, maandiko yanatuambia siku ya mwisho wafu watafufuliwa ndo hapo kutakuwa na hukumu wa kwenda peponi/mbinguni wataenda na wa jehanam wataenda kipindi hicho.Yupo Jahanamu anakula adhabu ya kaburi... DADEKI..
Jidaganye tu, anakula "vitasa" / adhabu kaburi... Mmmae zake.Hakuna aliyeko jehanam kwa sasa, maandiko yanatuambia siku ya mwisho wafu watafufuliwa ndo hapo kutakuwa na hukumu wa kwenda peponi/mbinguni wataenda na wa jehanam wataenda kipindi hicho.
Saa hizi jiwe kalala zake usingizi mnono. Na kama kweli yaliyosemwa na familia yake kipindi cha msiba kuwa aliwaita viongozi wa dini akafanya toba na kupewa sacrament ya upako that means jiwe anaenda straight kwa Mungu baba.
Na mdude yupo jehanam na duniani. Life is not fair...