NDABANINGI SITHOLE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 529
- 530
Nimesoma hii thread huku machozi yakinilengalenga .
Hii nchi tulishafika sehemu mbaya sana yaani mtu unakosa uhakika wa kesho yako.
Tumuombe rais Mama Samia ahakikishe huu uonevu uliosimikwa nchini mwetu anauondosha kabisa .
Punguza upuuzi Jo...Nadhani ungeweka picha ya Mdude badala ya Pambalu ingependeza zaidi!
Uwashauri sasa na wadogo zako mlenda mlenda wa uvccm nao kujiunga na Jamii Forums kama verified members!Nadhani ungeweka picha ya Mdude badala ya Pambalu ingependeza zaidi!
Kama mdomo umemponza why apewe kesi ya madawa ya kulevya? Kwanini asifungwe kwa uchochezi au lugha chafu!!Wapumbavu woote wamejaa ngeo vichwani na usoni.lkn wenye hakika woote wana sura zao halisi.mdude nyangali anapata stahiki yake,tuache ushabiki,mdude alikuwa anautumia vibaya ndomo wake,na mdomo uliponza kichwa,wachina wana msemo mmoja,mdomo ni siraha kubwa sn ukiutumia vzr unaweza kujiokoa katkati ya jeshi kubwa la wanajeshi 1000,lkn pia mdomo ukiutumia vibaya unaweza kupoteza kichwa chako,
Mtoka Soba Hakosi Makovu walikutoa mapemaHili jina lako baada ya k ingewekwa u, badala ya a, ungeharibu sana hali ya hewa!
Sasa hawa wote waliofungwa kwa kubambikiwa makosa ya uongo kwa sababu tu ya kupigania DemokrasiaTukaachana naye kulikabili Gereza la Songwe lililopo zaidi ya kilometa 100 kutoka mjini mbeya wanakoshikiliwa wapiganaji wenzetu wapatao 60, kati yao wanaume 53 na wanawake 7 Gereza la Songwe. Wengi wao wakituhumiwa wa kesi za mauaji na uhujumu uchumi.
Jichunge usifanye fujo na hiyo ndio fimbo ya wanyonge ccUmesahau kuwa katika dunia hii iitwayo uwanja wa fujo kila mtu ni mfungwa mtarajiwa.
Nakushauri sana ndugu yangu usikebehi mahabusu au mfungwa.
Muombe sana mungu asikupe kiburi cha kutenda hiyo dhambi.
umelaaniwa utakufa kama mwenzio JIWE , alikufa mdomo waziMwanakuli#Search Mwanakuli#Get mpe pole yake
Lkn pia bro tutumie lugha za busara hata tunapowakosoa watu tusiokubaliana nao,lugha ngumu na zenye ukakasi kuleta mgogoro,hata km ni ktk familia,mdude alivuka kiwango,Kama mdomo umemponza why apewe kesi ya madawa ya kulevya? Kwanini asifungwe kwa uchochezi au lugha chafu!!
Hii tabia ya kubambikizia watu kesi haipaswi kuungwa mkono na yeyote maana sio haki kabisa.
Sugu na lema walikuwa lock up kwa Uchochezi why hyu iwe madawa? Mkuu usi support hili, siku unaweza chepuka na mke wa mtu afu ukapewa kesi ya ujambazi wa silaha ndio utaelewa inavyouma
Bado akili zako ni za kitoto sanaJichunge usifanye fujo na hiyo ndio fimbo ya wanyonge cc
Uzuri Mungu kesha fanya yakeLkn pia bro tutumie lugha za busara hata tunapowakosoa watu tusiokubaliana nao,lugha ngumu na zenye ukakasi kuleta mgogoro,hata km ni ktk familia,mdude alivuka kiwango,
Huyo unayemuelewesha ni sawa na nyoka asiyeona.Kama mdomo umemponza why apewe kesi ya madawa ya kulevya? Kwanini asifungwe kwa uchochezi au lugha chafu!!
Hii tabia ya kubambikizia watu kesi haipaswi kuungwa mkono na yeyote maana sio haki kabisa.
Sugu na lema walikuwa lock up kwa Uchochezi why hyu iwe madawa? Mkuu usi support hili, siku unaweza chepuka na mke wa mtu afu ukapewa kesi ya ujambazi wa silaha ndio utaelewa inavyouma
Hao kula kulala bure hawezi kukuelewa labda mpka aambiwe na shemeji yakeNakushauri sana ndugu yangu usikebehi mahabusu au mfungwa.
Na ndiyo hao hao wanaosumbua maana wanaishi kwa shemeji zaoHao kula kulala bure hawezi kukuelewa labda mpka aambiwe na shemeji yake
Aliyeua sasa hivi ashahukumiwaKuteswa kwake sisi inatuhusu nini? Je kama aliua na zaidi anastahili kunyongwa sisi tutajuaje? Nyoosha maelezo
Huna sababu ya kuchangia huku, ni heri pia kukaa kimya, maana yapo yanayokuhusu wewe, huku tuachie sisiNadhani ungeweka picha ya Mdude badala ya Pambalu ingependeza zaidi!