Mateso ya Sekta binafsi ye NSSF wanatunyima mafao yetu

Mateso ya Sekta binafsi ye NSSF wanatunyima mafao yetu

Soul21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
210
Reaction score
351
Tuliofanya kazi sekta binafsi kwa mshahara kidogo na mateso makali na mwisho Mungu akajalia tukapata serikali leo tunajua pesa ya NSSF itakuwa msaada kwetu lakini sheria za hovyo alizopitisha Magufuli tunanyimwa.

Naomba serikali ione huruma ili tunaopata kazi serikali tulipwe hiyo pesa ili iwe msaada kufidia muda na ujira mdogo tulipokea sekta binafsi bila kufanya chochote.

Yaani naumia sana. Nimejua mfumo na utawala wake wakiamua wanyonge tuteseke basi inakua hivyo.
 
Back
Top Bottom