FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
unaweza mpaka ukaingia kaburini ucjue lolote, wacheni bwana nyie yaani nyie mnavyojiona mnajua kucheza game mjue na wanawake wanajua pia, ki ukweli huyu frnd wangu alikuwa namjali/kumpenda sana mr wake lakini tamaa za mr zikampasua nyongo dada wa watu akafanya anayofanya kwa kulipiza kisasi sasa kanogewa na huyo mzee mpya hajali lolote kwa mr wake, sasa mnaona mnavyobadilisha akili ya mtu kutoka kulia kwenda kushoto? hakuna maelezo hapo mr atalea mtoto kama ifuatavyo na baba halic atamtunza mtoto wake pia....mkiambiwa mtulie na wake zenu hamckii ndio mambo kama haya yanawakuta.
du na husb kajua kama kiumbe sio chake ??