Uchaguzi 2020 Mathematically, haiwezekani kwamba Magufuli ameshinda kwa kura bandia!

Pulchra Animo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
3,718
Reaction score
3,465
To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30 million. No one knew before the fact what the voter turnout would look like.

Magufuli angejaziwa kura za bandia 10 million halafu turnout ikawa 25 million na Lissu akapata kura hata 15 million tu, fraud scheme ingepasuka kwa aibu kubwa. Nani atafanya kosa kama hilo?

Alternatively, kama kura halali za Magufuli ni chache kuliko za Lissu, maana yake voter turnout haikufika hata 4 million. This too doesn’t make any sense!

The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.

Ushauri wa bure kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema): Katika kuchangia, tambueni kuwa matusi sio substitute ya nguvu ya hoja; jengeni hoja mshawishi watu.
 
The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.

Pili kwenye kituo chenye wamejiandikisha 300,000 wanapiga kura wa halali 50,000 Kisha akajaziwa zingine hata 200,000 utashtukaje hapo?

Conclusively mostly probably za TAL kapewa JP, na Nec wakaongezea zao kwa JP again
 
Nendeni mahakamani? Hao mawakala wenu walikuwa wapi haya yote yakifanyika?
 
Bila shaka Wewe ulikuwa ni mmoja kati ya mawakala waliofanya fraud ya kura for CCM.

Shame on you, God curse be on thieves and those behind the fraud.
 
Kuna scenario nyingi ila mojawapo ni kuwa kila kituo kilikuwa na kura zake prefilled already na walichofanya ni kureplace kabisa na zile kura zoote zilizopigwa kwenye vituo husika. Basically hakukuwa na uchaguzi.

Na hili liliwezekana tu kwa kuwa vituo vingi CHADEMA hawakuweka mawakala kabisa (poor organisation na/ama ukosefu wa fedha), au mawakala walizuiwa kuingia ndani, au mawakala walitolewa nje wakati wa majumuisho au mawakala wa CHADEMA walitishwa na kuhongwa fedha au mawakala walikuwa dhaifu sana (low reasoning capacity) na wakatii kinachofanyika bila kuhoji

Kuna mengi ya kujifunza ila hakuna haja ya Upinzani kushiriki tena chaguzi kwa matumaini ya kuambulia viti vichache ili Ruzuku kiduchu ipatikane
 
Umeandika vizuri sana mkuu hongera.......
 
Back
Top Bottom