Uchaguzi 2020 Mathematically, haiwezekani kwamba Magufuli ameshinda kwa kura bandia!

Uchaguzi 2020 Mathematically, haiwezekani kwamba Magufuli ameshinda kwa kura bandia!

Ulipaswa ueleze sababu ya Mkurugenzi wa uchaguzi kuwekwa na rais hayo mengingine unayoyaeleza yamemekuwepo tangu enzi ya mashetani
To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30 million. No one knew before the fact what the voter turnout would look like.

Magufuli angejaziwa kura za bandia 10 million halafu turnout ikawa 25 million na Lissu akapata kura hata 15 million tu, fraud scheme ingepasuka kwa aibu kubwa. Nani atafanya kosa kama hilo?

Alternatively, kama kura halali za Magufuli ni chache kuliko za Lissu, maana yake voter turnout haikufika hata 4 million. This too doesn’t make any sense!

The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.

Ushauri wa bure kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema): Katika kuchangia, tambueni kuwa matusi sio substitute ya nguvu ya hoja; jengeni hoja mshawishi watu.
 
Lazima tuwe kama Ulaya wapinzani washenzi sana wali kwamisha sana maendeleo leo tungekuwa kama Toronto au Japan au Thailand au Canada au Singapore au Dubai!
Internet pia ina kwamisha sana maendeleo na kuharibu tamaduni zetu izimwe kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umeamkaje kamanda
 
Pole Sana! Hakuna unachokijua, endelea kujifariji. Tunaojua kilichofanyika acha tunyamaze, maana kuna maisha baada ya uchaguzi.
 
To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30 million. No one knew before the fact what the voter turnout would look like.

Magufuli angejaziwa kura za bandia 10 million halafu turnout ikawa 25 million na Lissu akapata kura hata 15 million tu, fraud scheme ingepasuka kwa aibu kubwa. Nani atafanya kosa kama hilo?

Alternatively, kama kura halali za Magufuli ni chache kuliko za Lissu, maana yake voter turnout haikufika hata 4 million. This too doesn’t make any sense!

The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.

Ushauri wa bure kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema): Katika kuchangia, tambueni kuwa matusi sio substitute ya nguvu ya hoja; jengeni hoja mshawishi watu.
Ni hivi Voters turn out haikufika hiyo 15 Millions.

Kura zilizopigwa vituoni vilihesabiwa lakini hazikujazwa kwenye form za matokeo.

Baada ya zoezi la kupiga kura mawakala wa vyama vya upinzani hasa CHADEMA walitolewa vituoni kwa nguvu.

Alichokuwa anatangaza jana Kaijage ni namba tu zilizojazwa na wasimamizi wa uchaguzi bila kuzingatia hata idadi ya wapiga kura.

We angalia kuna majimbo mengine kura zilikuwa zinazidi idadi ya registered voters.
 
Ushauri wa bure kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema): Katika kuchangia, tambueni kuwa matusi sio substitute ya nguvu ya hoja; jengeni hoja mshawishi watu.
Ulikwenda vizuri na mada yako huko juu, ambako mtu angekaa chini na kujadili vizuri wazo lako hilo.

Haya ya mwisho kwa nini uliyaona kuwa muhimu hadi uyaweke kwenye mada inayojadilika?

Njia mbalimbali zimetumiwa na serikali, ndio, serikali na sio CCM kuvuruga uchaguzi. Hilo tu linatosha kuifanya hiyo "Mathematically" yako kutokuwa na maana yoyote katika matokeo haya.

Unajaza manamba ya hovyohovyo kwenye 'program' halafu unatarajia upate jibu sahihi katika matokeo? Wewe ni 'mathematician' wa aina gani aiseee!
 
Nilipata kukaa karibu na jamaa mmoja wa CCM ambaye alikuwa active sana kwenye kampeni. Akawa anasema hivi " walitaka kuuza nchi wale hatuwezi kuwaachia wawauzie nchi wazungu"

My take: CCM wana justify walichofanya kwa kisingizio cha kuikomboa nchi kutoka kwa mabeberu na hawana hata chembe ya guilt. Itakuwa waliaminishwa hivyo ikawa rahisi kwao kufanya hiki kitendo walichokiona cha kizalendo.
 
Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.

Milioni 17 hawakupiga kura??

Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..

This is rejection mchana kweupe

Sasa rejection kwa nani? Tundu au Magufuli? Isitoshe usisahahu watu wengi hujiandikisha kupiga kura Tanzania kwa sababu nyinginezo tofauti na kupiga kura kwenyewe kama tu kupata kitambulisho, kwa wengi ni muhimu zaidi ya kupiga kura n.k., ...
 
Hahah!

Chadema walikuwa wana edit mikusanyiko kipindi cha kampeni, hivi walikuwa wanamdanganya nani? Wamevuna walichopanda
 
Mawakala wengine hawakupewa barua ya utambulisho na wakurugenzi na wale waliopewa barua kuna wengine walitolea nje kwa nguvu wakati wa zoezi la kuhesabu kura
 
Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.

Milioni 17 hawakupiga kura??

Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..

This is rejection mchana kweupe
Kwani mwaka gani? Au nchi gani wapiga kura walikuwa [emoji817]%

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
 
Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.

Milioni 17 hawakupiga kura??

Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..

This is rejection mchana kweupe
'The worst case scenario' happenned! Wanachama wengi wa CCM hawakwenda kupiga kura kwa kubweteka na mafanikio tuliyoyapata kwenye kampeni. Wengi walijua kuwa tumeshashinda hivyo hawakuona haja ya kupiga kura. Hii imetupunguzia ushindi wa kishindo na kufanya tushindwe kufikia asilimia 90+ tulizotegemea kuzivuna!
 
Back
Top Bottom