Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh....Conclusively mostly probably...
Wale wa kupaka rangi dhambi....Vibendera Chalii
Wamebakia na wimbo ule ule Kuibiwa kura
Yaani wanamgombea Wa Hovyo wategemee kushinda
Hahaha tulisema Wakipata Kura 20% Wameshinda
Ukisusa sisi twalaWaliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.
Milioni 17 hawakupiga kura??
Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..
This is rejection mchana kweupe
Ni lini uchaguzi wa Tz turn out ilifika hata 60% tu, 2015 turn out ilikuwa chini ya 60% , mnapenda kuwajaza ujinga CHADEMA fanatics.Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.
Milioni 17 hawakupiga kura??
Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..
This is rejection mchana kweupe
Ni lini uchaguzi wa Tz turn out ilifika hata 60% tu, 2015 turn out ilikuwa chini ya 60% , mnapenda kuwajaza ujinga CDM fanatics.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu, mimi msimamo wangu tangu kampeni zinaanza nilisema Lisu akivusha 20% nipigwe ban ya maisha hapa jf!Vibendera Chalii
Wamebakia na wimbo ule ule Kuibiwa kura
Yaani wanamgombea Wa Hovyo wategemee kushinda
Hahaha tulisema Wakipata Kura 20% Wameshinda
Kila kitu kinafanywa kwa hesabu kali na ndio maana tofauti ya kura imekuwa kubwa ili kufix hilo unalo lisema weweTo cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30 million. No one knew before the fact what the voter turnout would look like.
Magufuli angejaziwa kura za bandia 10 million halafu turnout ikawa 25 million na Lissu akapata kura hata 15 million tu, fraud scheme ingepasuka kwa aibu kubwa. Nani atafanya kosa kama hilo?
Alternatively, kama kura halali za Magufuli ni chache kuliko za Lissu, maana yake voter turnout haikufika hata 4 million. This too doesn’t make any sense!
The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.
Ushauri wa bure kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema): Katika kuchangia, tambueni kuwa matusi sio substitute ya nguvu ya hoja; jengeni hoja mshawishi watu.
Hata hivyo yaliyotangzwa sio ya vituoni. Ndio maana namba ziko vululuvululuWaliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.
Milioni 17 hawakupiga kura??
Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..
This is rejection mchana kweupe
The probability that your IQ is below 60 is almost 84%To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30 million. No one knew before the fact what the voter turnout would look like.
Magufuli angejaziwa kura za bandia 10 million halafu turnout ikawa 25 million na Lissu akapata kura hata 15 million tu, fraud scheme ingepasuka kwa aibu kubwa. Nani atafanya kosa kama hilo?
Alternatively, kama kura halali za Magufuli ni chache kuliko za Lissu, maana yake voter turnout haikufika hata 4 million. This too doesn’t make any sense!
The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.
Ushauri wa bure kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema): Katika kuchangia, tambueni kuwa matusi sio substitute ya nguvu ya hoja; jengeni hoja mshawishi watu.
Lazima tuwe kama Ulaya wapinzani washenzi sana wali kwamisha sana maendeleo leo tungekuwa kama Toronto au Japan au Thailand au Canada au Singapore au Dubai!Imeisha hiyo
HAPA KAZI TUU
Kuna scenario nyingi ila mojawapo ni kuwa kila kituo kilikuwa na kura zake prefilled already na walichofanya ni kureplace kabisa na zile kura zoote zilizopigwa kwenye vituo husika. Basically hakukuwa na uchaguzi.
Na hili liliwezekana tu kwa kuwa vituo vingi CHADEMA hawakuweka mawakala kabisa (poor organisation na/ama ukosefu wa fedha), au mawakala walizuiwa kuingia ndani, au mawakala walitolewa nje wakati wa majumuisho au mawakala wa CHADEMA walitishwa na kuhongwa fedha au mawakala walikuwa dhaifu sana (low reasoning capacity) na wakatii kinachofanyika bila kuhoji
Kuna mengi ya kujifunza ila hakuna haja ya Upinzani kushiriki tena chaguzi kwa matumaini ya kuambulia viti vichache ili Ruzuku kiduchu ipatikane