Uchaguzi 2020 Mathematically, haiwezekani kwamba Magufuli ameshinda kwa kura bandia!

Uchaguzi 2020 Mathematically, haiwezekani kwamba Magufuli ameshinda kwa kura bandia!

Hii press conference ya vyama vya upinzani imeanza? mwenye kuweza kunisaidia link tafadhali
 
To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30 million. No one knew before the fact what the voter turnout would look like. Magufuli angejaziwa kura za bandia 10 million halafu turnout ikawa 25 million na Lissu akapata kura hata 15 million tu, fraud scheme ingepasuka kwa aibu kubwa. Nani atafanya kosa kama hilo?
Hapo peke yake umeonesha una uwezo mdogo sana wa kufanya analysis manake umeangalia upande mmoja wa "kujaza" na sio upande wa "kupora"!

Umeshindwa kufahamu kama inawezekana Jiwe kujaziwa kura bandia zaidi ya 10 million basi pia inawezekana Tundu Lissu kuporwa kura zaidi ya 10 million!

But to make it logical, kwavile jumla ya kura za Jiwe na TL ni almost 15 Million, hapakuwa na haja ya kumwekea Jiwe kura za bandia zaidi ya 10 Million bali all you need to do ni kuiba kura 5M za TL na kuzihesabia upande wa Jiwe, kisha unaongoza zingine fake kwa Jiwe, na end result itakuwa Jiwe kapata kura zaidi 12M na TL roughly 2M na finally kuonesha hoja yako kwamba zingefika kura 25M ni hoja inayothibitisha uwezo wako mdogo wa kuchambua mambo!!

Najua yupo Lofa atakayeuliza unaiba vipi zaidi ya kura 5M! Kama hilo ndo swali lako, kamuulize Jecha aliiba vipi kura zoooooooote na kufuta matokeo ya uchaguzi!
Alternatively, kama kura halali za Magufuli ni chache kuliko za Lissu, maana yake voter turnout haikufika hata 4 million. This too doesn’t make any sense!

The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.

Ushauri wa bure kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema): Katika kuchangia, tambueni kuwa matusi sio substitute ya nguvu ya hoja; jengeni hoja mshawishi watu.
Umefikia argument hiyo kwa sababu mawazo yako yaliganda kwenye kura za bandia za kwenye mabox bandia bila kuelezea uwezekano wa wa kura za X kuhesabiwa upande Y hasa kwa vituo kadhaa ambavyo havikuwa na mawakala wa upinzani!

That being said, hoja yako HAINA MASHIKO!!!
 
To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30 million. No one knew before the fact what the voter turnout would look like.

Magufuli angejaziwa kura za bandia 10 million halafu turnout ikawa 25 million na Lissu akapata kura hata 15 million tu, fraud scheme ingepasuka kwa aibu kubwa. Nani atafanya kosa kama hilo?

Alternatively, kama kura halali za Magufuli ni chache kuliko za Lissu, maana yake voter turnout haikufika hata 4 million. This too doesn’t make any sense!

The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.

Ushauri wa bure kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema): Katika kuchangia, tambueni kuwa matusi sio substitute ya nguvu ya hoja; jengeni hoja mshawishi watu.
Hata clip ya mabegi ya shehena ya kura zilizopigiwa ccm walizokuwa nazo policcm kwa ajili ya kuingiza vituoni hujaona?!
 
Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.

Milioni 17 hawakupiga kura??

Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..

This is rejection mchana kweupe
Wengine hawakupata kura?
 
Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.

Milioni 17 hawakupiga kura??

Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..

This is rejection mchana kweupe

Mkuu, angalia historical turnout rate ya Tanzania na kwingine kabla hujatoa hoja isiyokuwa na mbele wala nyuma!
 
The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.

Pili kwenye kituo chenye wamejiandikisha 300,000 wanapiga kura wa halali 50,000 Kisha akajaziwa zingine hata 200,000 utashtukaje hapo?

Conclusively mostly probably za TAL kapewa JP, na Nec wakaongezea zao kwa JP again

Mtahamisha sana magoli. Kwahiyo, mawakala wenu hata zoezi la kuhesabu kura hawakushiriki?
 
Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.

Milioni 17 hawakupiga kura??

Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..

This is rejection mchana kweupe
Daftari la kupigia kura lina kuwa updated kabla ya kupiga kura.
Kuna walio kufa na bado wapo kwenye daftari
Kuna walio susia
Kuna waliompa kura Magu 12M
Kuna waliompa kura shoga sorry Lissu 2M
Kuna waliowapa wa vyama vya upinzani vingine 1M
WALIOPIGA KURA 15

Mkuu weka hesabu zako sawa acha kupotosha watu hao watu 17M wana toka wapi.
 
Bila shaka Wewe ulikuwa ni mmoja kati ya mawakala waliofanya fraud ya kura for CCM.

Shame on you, God curse be on thieves and those behind the fraud.

Hivi mtu kama wewe una msaada gani kwa chama chako? Huwezi hata kujenga hoja watu wakashawishika; you’re just a liability.

May the Lord have mercy on you!
 
Lakini, tusisahau kwamba mashahidi wa upinzani ni mawakala wao.

Je, mawakala wao wametoa feedback ipi?

Msingi wowote wa madai yao waanzia kwa feedback kutoka kwa mawakala.

Mawakala wakitokeze na wazungumze na vyombo vya habari na kiongozi wao aeleze shida ya kila kituo cha kupiga kura.

Kwa sasa wanachofanya akina Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Freeman Mbowe hakina maana.

Jambo la msingi ni hilo la mawakala na kisha kwenda mahakamani.

Tundu Lissu ni mwanasheria nguli na mwenye uelewa mkubwa sana, hivyo aandae hoja za kisheria na wapeleke hoja hizo mahakamani.

Kama wameamua kuingia barabarani wafanye hivyo na kitaeleweka hukohuko barabarani.
 
Wizi ni wizi tu hata ukipakwa rangi nzuri kiasi gani utabaki kuwa wizi. Maccm ni wezi wa kura miaka yote ila safari hii wamekuwa majambazi na wameulawiti umma wa Watanzania
mMEPIGWA KISAWASAWA. KWA MAWAZO YAKO MGANDO, ULIDHANI KABISA LISU ANGEPATA HATA KURA MILIONI2?
 
Kuna scenario nyingi ila mojawapo ni kuwa kila kituo kilikuwa na kura zake prefilled already na walichofanya ni kureplace kabisa na zile kura zoote zilizopigwa kwenye vituo husika. Basically hakukuwa na uchaguzi.

Na hili liliwezekana tu kwa kuwa vituo vingi CHADEMA hawakuweka mawakala kabisa (poor organisation na/ama ukosefu wa fedha), au mawakala walizuiwa kuingia ndani, au mawakala walitolewa nje wakati wa majumuisho au mawakala wa CHADEMA walitishwa na kuhongwa fedha au mawakala walikuwa dhaifu sana (low reasoning capacity) na wakatii kinachofanyika bila kuhoji

Kuna mengi ya kujifunza ila hakuna haja ya Upinzani kushiriki tena chaguzi kwa matumaini ya kuambulia viti vichache ili Ruzuku kiduchu ipatikane

Mawakala wa vyama vingine walikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom