🤣🤣🤣 Hadi wewe unamaumivuugoro ulichanganyikana na ufyenze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Hadi wewe unamaumivuugoro ulichanganyikana na ufyenze.
Nakuhakikishia kuwa almost katika kila kituo, waliopiga kura hawakuzidi theluthi moja.
1. Pita sehemu walipobandika matokeo angalia idadi ya walioandikishwa na waliopiga kura. HIVYO basi waliopiga kura watakuwa ni theluthi moja tu ya milioni 29.
2. Maeneo ambayo mawakala wa chadema walitolewa wakati wa kuhesabu kura usitegemee kura za Lissu kubaki kama zilivyo.
3. Kilichofanyika vituoni ilikuwa ni kuhalalisha tu, kilichotakiwa kutoka kila kituo ni idadi tu ya wapiga kura na sio matokeo kwani matokeo (kwa asilimia) walishakuwanayo (rejea matokeo ya NEWALA MJINI na TARIME MJINI yaliyofanana kila kitu)
4. Ushahidi wa kura bandia upo. Na huu ilitokana na kusajili "hewa" kwenye daftari la mpiga kura hivyo kuwa na uhakika wa idadi ya ambao hawawezi kupiga kura. Kiuhalisia nchi yenye watu milioni 60 haiwezi kuwa na watu wazima milioni 29 (karibu nusu). Haiwezekani idadi ya watoto kuwa sawa na ya watu wazima. LAZIMA watoto wawe wengi.
5. Kuzima mitandao..............
Kwahiyo wewe hufahamu kua Kuna mawakala waliondolewa vituoni?Mtahamisha sana magoli. Kwahiyo, mawakala wenu hata zoezi la kuhesabu kura hawakushiriki?
Aliyeona sehemu watu wanashangilia ushindi wa magufuli aniambie na Mimi nikashangilie.
Kweli kabisa ushindi huu ni halali kwanza mgombea wa CCM aliwasisitiza sana wananchi wasimchanganyie Gunzi anahitaji Connection na wanachama wa CCM kwa mujibu wa Polepole ni zaidi ya m16To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30 million. No one knew before the fact what the voter turnout would look like.
Magufuli angejaziwa kura za bandia 10 million halafu turnout ikawa 25 million na Lissu akapata kura hata 15 million tu, fraud scheme ingepasuka kwa aibu kubwa. Nani atafanya kosa kama hilo?
Alternatively, kama kura halali za Magufuli ni chache kuliko za Lissu, maana yake voter turnout haikufika hata 4 million. This too doesn’t make any sense!
The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.
Ushauri wa bure kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Maendeleo (Chadema): Katika kuchangia, tambueni kuwa matusi sio substitute ya nguvu ya hoja; jengeni hoja mshawishi watu.
Hii ni picha ndogo tu ya matokeo,kwa KAWE mheshimiwa amepata kura ngapi? Weka hapo alafu angalia je Kuna uwezekano huo kwa kuchukua idadi ya wapiga kura?
View attachment 1616372
Kila kitu kinafanywa kwa hesabu kali na ndio maana tofauti ya kura imekuwa kubwa ili kufix hilo unalo lisema wewe
Ni chache mno, inawezekana kuna mahali ameibiwa, au kuna wasaliti/wazembe wengi sana, ikumbukwe chama chake kina wanachama milioni 22 na kila mwanachama alikuwa na jukumu la kushawishi angalau watu watatu wampigie kura.
Hv hua mnaongea kwa kutumia makalio au hao mawakala walikua wapi kivipi wakati walifukuzwa na wasimamizi hv ww kweli hukusikia au kuona hujuma waliofanyiwa mawakala wa upinzani wengi walitolewa vituoni kisa barua na kitambulisho ,walinyimwa baraua mf Jimbo la chato mawakala wote walifukuzwa kisa eti wamegushi signature,tunaposema uchaguz huu haukuwa huru mueleweNendeni mahakamani? Hao mawakala wenu walikuwa wapi haya yote yakifanyika?
Inawezekana ulikuwa wakala kituo cha kupigia kura kituo cha m/kiti mtaa msembeta 2. LAKINI kuna wengine huko Kawe, tmk, mbagala n.k hawakuruhusiwa kabisa kuwepo kipindi cha kuhesabu kura.Nilikuwa wakala wa kusimamia kura.ni mjinga tu pekee ndio haamini kama magufuri aliongezewa kura.narudia tena .ni mjinga tu pekee ndio anaamini magufuri napata kura 12 million kwa halali
The probability that your IQ is below 60 is almost 84%
Waliomo humu hawakutoshi?
Ulipaswa ueleze sababu ya Mkurugenzi wa uchaguzi kuwekwa na rais hayo mengingine unayoyaeleza yamemekuwepo tangu enzi ya mashetani
Ni hivi Voters turn out haikufika hiyo 15 Millions.
Kura zilizopigwa vituoni vilihesabiwa lakini hazikujazwa kwenye form za matokeo.
Baada ya zoezi la kupiga kura mawakala wa vyama vya upinzani hasa CHADEMA walitolewa vituoni kwa nguvu.
Alichokuwa anatangaza jana Kaijage ni namba tu zilizojazwa na wasimamizi wa uchaguzi bila kuzingatia hata idadi ya wapiga kura.
We angalia kuna majimbo mengine kura zilikuwa zinazidi idadi ya registered voters.
Umesoma hesabu kweli mkuu?? Ngoja nikusaidie walijitokeza kupiga kura ni million 15+ hivyo ambao hawakupiga kura ni million 14 na wala si million 17.Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.
Milioni 17 hawakupiga kura??
Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..
This is rejection mchana kweupe
Kwa hiyo mtu akijiita tajiri wewe unajua huyo mtu ana pesa nyingi?You gotta quit calling yourself Mchambuzi. Hakuna Mchambuzi wa aina hii!
Kwani hakukuwa ma mawakara?The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.
Pili kwenye kituo chenye wamejiandikisha 300,000 wanapiga kura wa halali 50,000 Kisha akajaziwa zingine hata 200,000 utashtukaje hapo?
Conclusively mostly probably za TAL kapewa JP, na Nec wakaongezea zao kwa JP again