Mathematician proved failure and they have to acknowledge it.

Mkuu Bible haidanganyi wala hesabu haidanganyi kwenye huo mstari umesema kuwa mwanaume ataambatana Na mkewe nao watakuwa mwili mmoja just simple mathematics angalia neno 'ambatana' inamaanisha kwenda pamoja yani (1*1) moja Mara moja ngapi??
Bible=Earth ina umri wa 6000 yes

Science inakataa
 
What if sperm imekutana na ovum then wakatoa mapacha? Jibu bado litabaki moja!! huh?
 
Hivi 1 ikiungana na 1 inakuwa ngapi? Na je 1 ikijumlishwa na moja inakuwa ngapi? Nauliza tu.
 
Hivi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulitengeneza nchi ngapi? Au wewe ni kibaraka wa Jaji Waryoba unataka 1+1=3
 
Mambo ya rohoni ni ya rohoni mkuu na mambo ya mwilini ni ya mwilini mkuu.
 
From computation maths....
True = 1 and False = 0.

True + True = True
1 + 1 = 1 ( hence proved)
Na True + False jibu ni nini mkuu maana hyo arithmetic hapo juu ina ambiguities nyingi tu
 
Natumaini atakuwa ameelewa. Vya Kaisari mpeni Kaisari na vya MUNGU mpeni MUNGU!
 
I've been told 1/0= infinity. Further I learned infinity +1=infinity. Very confusing , where is the logic? Suddenly revelation on the night of power, infinity is not a number.Infinity is a concept! Peace until the break of dawn.
 
Nimber dont line mkuu

No provs kuwa 1+1=1??
Wakati niko Chuo mwaka wa kwanza poffesa wangu ailyekuwa course instructor wa CL( communication skills) tukiwa tunasoma fact and opinion alisema" now days even numbers are loosing factness" akasema 1+1is not 2. Akasema if 1+1=2 then 1boy +1girl=2? Akasema kama ni hivyo basi huo ni uongo.Numbers are loosing factness.
 
 
Teacher alikuwa chaka
Number number line

Alicho zungumza hajafwata kanuni za math

,1+1=2 yes
Ila
1km+1cm=2 hapa ndipo alipoingia chaka
Kwa.boy + girl
 
1+1=1 combination statements katika hesabu za logic
 
Mkuu Bible haidanganyi wala hesabu haidanganyi kwenye huo mstari umesema kuwa mwanaume ataambatana Na mkewe nao watakuwa mwili mmoja just simple mathematics angalia neno 'ambatana' inamaanisha kwenda pamoja yani (1*1) moja Mara moja ngapi??
Mama kama mja mzito moja mara moja inakuwa mbili.Hesabu inaongopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…