Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu, wanajf kisima cha fikra.Katika pitapita zangu za kutafuta kuongeza maarifa zaidi nikajikuta ninasoma kitabu kitakatifu na si kingine Bali ni bible.niliposoma kitabu cha mwanzo 2:24 '"kwa hiyo mwanaume atamwacha baba yake na mama yake ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja" yaani 1+1=1 while mathematian wanatwambia 1+1=2. Swali langu ni hili inawezekanaje 1+1 ikawa 1? Baada ya hapo I conclude that number sometimes lie dont trust more on numbers.Mwenye ufahamu zaidi kuhusu hili.
Mi napishana nawe kidogo hapa mkuu, binafsi naamini mambo yote ya kiroho yana mashiko yake kimwili. Hivyo unganiko hilo ktk umwili mmoja lazima lionekane ktk huu mwili wa nyama pia.Kazi kweli kweli,...kwa hiyo ukiunganisha mume na mke unapata mwili mmoja?
Ile ni dhana ya kiroho na sii physical...MATHS ipo physically na sii kiroho!
Mume na Mke wakipanda bus wanalipa nauli ya mtu mmoja au ya watu wawili?Mi napishana nawe kidogo hapa mkuu, binafsi naamini mambo yote ya kiroho yana mashiko yake kimwili. Hivyo unganiko hilo ktk umwili mmoja lazima lionekane ktk huu mwili wa nyama pia.
Hawa wanaoungana ktk ndoa huwa mwili mmoja ktk matamanio yao, mawazo na fikra zao nk. Hapa baada ya kitambo kidogo huwa ni watu wenye ukaribu kupita ukaribu wa wazazi wao. Hushea furaha na mahuzuniko yao, hakutakuwa na kitu cha upande mmoja tena bali lao ktk umoja wao.
Kuna nguvu hata ktk kuingiliana kimwili, nashindwa niliweke tu hapo. Ila huwa napata concept yake, ukiwa ktk lile tendo na kama mko ktk furaha ya kweli, unaweza mfanya mwenzio ajisikie vile hujisikiavyo wewe na mkashea kila kitu ktk fikra.
Mume na Mke wakipanda bus wanalipa nauli ya mtu mmoja au ya watu wawili?
Hapo tutakuwa hatujawaza vya kutosha mkuu! Ila mume anaweza asihudhurie mazishi kwa jirani akahudhuria mke tu na familia isipewe lawama.Mume na Mke wakipanda bus wanalipa nauli ya mtu mmoja au ya watu wawili?
Ndugu, wanajf kisima cha fikra.Katika pitapita zangu za kutafuta kuongeza maarifa zaidi nikajikuta ninasoma kitabu kitakatifu na si kingine Bali ni bible.niliposoma kitabu cha mwanzo 2:24 '"kwa hiyo mwanaume atamwacha baba yake na mama yake ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja" yaani 1+1=1 while mathematian wanatwambia 1+1=2. Swali langu ni hili inawezekanaje 1+1 ikawa 1? Baada ya hapo I conclude that number sometimes lie dont trust more on numbers.Mwenye ufahamu zaidi kuhusu hili.
Post yako imenisikitisha sana.Hapo tutakuwa hatujawaza vya kutosha mkuu! Ila mume anaweza asihudhurie mazishi kwa jirani akahudhuria mke tu na familia isipewe lawama.
Hakuna mahali Biblia inasema Dunia ina umri wa miaka 6,000Bible=Earth ina umri wa 6000 yes
Science inakataa
Kwa hiyo unatofautisha math na sayansi.Science inadanganya mkuu Ila mi naitetea mathematics haidanganyi
Wachache humu watakuelewa. You are rearly great thinker.1+1 jibu sio lazima iwe 2 inategemea unaongea hesabu za darasa hewa au hesabu za wapi.Ukichukua mbegu moja ukaipanda kwenye shimo moja na ukachukua mbegu nyingine ukapanda kwenye shimo lingine jibu la mavuno uakayopata kutokana na mazao ya hizo mbegu sio 2 (ALL THINGS REMAINING CONSTANT kwamba mvua itanyesha vizuri,mbolea na kilimo cha kisasa kitatumika nk!!!!)
Pia hesabu za biblia sio 1+1 bali ni NUSU +NUSU=1 sababu biblia inasema Adamu alipoumbwa alikuwa hajakamilika ina maana alikuwa nusu mtu akasema nitamfanyia msaidizi ili awe kamili na hao watu wawili nusu nusu watakuwa mwili mmoja yaani watakuwa wamekamilika ule unusu ukijumlisha na unusu mwingine ndio unakuwa kitu kimoja!
Bbilia inaongelea NUSU +NUSU=1 Sio 1+1=2
Hapa ni maswali juu ya maswali:Sidhani kama kuna Mathematics imeshindwa kuwa proved.Kuungana kunakozungumzwa hapo ni muunganiko wa Kibaolojia.Hivi Sperm toka kwa mwanaume inapoungana na Ovum toka kwa Mwanamke hujui kama in the first place kunatokea Single Cell(Zygote)?
Ni dhahiri 1+1 is one.Hapo ndipo Baba wa Namba (Mungu) anapothibitisha huo ukweli.