Tukianza na hiyo hatua ya urutubishaji wa yai la kike, si kweli kwamba Cell moja + Cell nyingine zote zikiwa nzima.Bali ni nusu Cell jumlisha na nusu Cell nyingine ndo unapata Cell moja itakayokuwa kiumbe kimoja baadae.
Halafu hii dhana ya 1+1 =1 ni kweli kwenye baadhi ya mambo inawezekana, mfano ukichukua nchi ya Kenya ukajumlisha na nchi ya Tanzania kwa kubomoa mpaka, utapata nchi moja.
N

Na hiyo moja moja yenyewe qualitatively unaweza Kuikuta Ni 1/2 Na 1/2; 1/4+3/4; 1/3+2/3; au 1/3+1/3+1/3, nk.
Kwa hiyo Kwa maelezo yako hapo juu ya mfano wa kuunganisha Tanzania Na Kenya Kwa kuondoa Mpaka ya nchi tajwa Ni kukubaliana nami kuwa 1 Na 1 sio lazima siku zote Na mahali pote iwe mbili tu.
Lakini kwenye baadhi ya vitu kama miili ya watu, 1+1=1 haiwezekani! huwezi kumchukua mtu mmoja ukamjulisha na mtu mwingine halafu ikawezena kwenye ulimwengu wa Fizikia.
Kuhusu Mungu Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu kuwa Mungu mmoja, hilo sina usemi maana mimi naamini kwenye Physicalism.
Ninazungumza Fertilization katika Context ya Quantitative Na sio Qualitatively.Sperm Na Ovum at the moment of fusion Ni Units mbili tofauti. Qualitatively ndo nusu Na nusu unayosema wewe.Biologically umeongea juu ya outcome ya Meoisis.Kwamba hizo Units mbili za uhai huwa zikoje kila moja kwa undani wake. My point is in stricto sense hammered on Quantitative aspect! Sperm Na Ovum by physical senses Ni Moja Na moja.Kwamba Ni kitu kimoja kimoja.