Mathematics &science ni kero sana

Mathematics &science ni kero sana

KITANGA FUGO

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
43
Reaction score
1
JAMANI SHAHADA HIZI NI BASI TU. Kuna watu walikuwa wanasoma kwa nguvu zote, wakati mwingine hata walilazimika kuondoka madarasani saa nane mpaka saa tisa usiku.

Watu hawa walikuwa wanachukuwa shahada za mathematics, physics, chemistry & biology katika chuo kikuu kimoja hapa nchini Kimsingi watu hawa ni wataalam sana katika masomo haya yaani wamebobea sana kwenye masomo haya ya sayansi ambayo kila kukicha viongozi mbalimbali wa serikali wanaongelea juu ya upungufu wa walimu wa maths,physcis n.k.

Lakin cha kushangaza watu hawa huwa wanamaliza shahada za masomo haya magum wanaangaliwa tu wanapotelea mitaani.

Watu hawa huwa hawajui hata CHAKO NI CHAKO WALA 84 NI WAPI yaani wao ni kusolve tu halaf mwisho wake wanaishia gitaa.kwa ajira hizi zilizotolewa mwez march walitegemea labda serikali ingewapangia shule za kufundisha , lakini wameambulia NIL licha ya kutuma maombi yao wizarani.

Je TANZANIA KWELI INA UHABA WA WATAALAM WA MASOMO YA MATHS&SCIENCE?
 
mkuu hii inchi ina vituko sijapa ona kuna dogo hapa physics and chemistry eti hajapangiwa qualifications zote ziko clear.Ni vituko vitupu
 
wizara ya elimu ni ya kisenge sana eti mtu amefeli ICT anakosa ajira wakati anafundisha chemistry na maths hata shule anayotakiwa kufundisha haina umeme wala compyuta huo sindo ukuma tunaita?
 
wizara ya elimu ni ya kisenge sana eti mtu amefeli ICT anakosa ajira wakati anafundisha chemistry na maths hata shule anayotakiwa kufundisha haina umeme wala compyuta huo sindo ukuma tunaita?
Dada mbona unajitukania na papuchi yako?In short Tanzania hakuna serikali
 
wizara ya elimu ni ya kisenge sana eti mtu amefeli ICT anakosa ajira wakati anafundisha chemistry na maths hata shule anayotakiwa kufundisha haina umeme wala compyuta huo sindo ukuma tunaita?

#Mods
Ban inahusika kwa huyu mwenzetu tafadhali.
 
Back
Top Bottom