KITANGA FUGO
Member
- Mar 25, 2014
- 43
- 1
JAMANI SHAHADA HIZI NI BASI TU. Kuna watu walikuwa wanasoma kwa nguvu zote, wakati mwingine hata walilazimika kuondoka madarasani saa nane mpaka saa tisa usiku.
Watu hawa walikuwa wanachukuwa shahada za mathematics, physics, chemistry & biology katika chuo kikuu kimoja hapa nchini Kimsingi watu hawa ni wataalam sana katika masomo haya yaani wamebobea sana kwenye masomo haya ya sayansi ambayo kila kukicha viongozi mbalimbali wa serikali wanaongelea juu ya upungufu wa walimu wa maths,physcis n.k.
Lakin cha kushangaza watu hawa huwa wanamaliza shahada za masomo haya magum wanaangaliwa tu wanapotelea mitaani.
Watu hawa huwa hawajui hata CHAKO NI CHAKO WALA 84 NI WAPI yaani wao ni kusolve tu halaf mwisho wake wanaishia gitaa.kwa ajira hizi zilizotolewa mwez march walitegemea labda serikali ingewapangia shule za kufundisha , lakini wameambulia NIL licha ya kutuma maombi yao wizarani.
Je TANZANIA KWELI INA UHABA WA WATAALAM WA MASOMO YA MATHS&SCIENCE?