Mathematics solver is here, Form 1 - Form 3 tupia swali hapo usaidiwe

three bells ring after interval of 10,30 and 45 minutes if they ring together at 4:30 in which period they will ring together again
hili ndio swali ambalo unatolea pesa?

Tafuta L.C.M ya 10,30 na 45mints, hiyo itakuwa ni dk ambazo hizo rings zitakuja ring together in mints.

converts hizo mints to hrs then jumlisha na 4:30hrs

jibu tayari.

maswali ya form one haya
 
ngoja nilete nondo zaidi naon mnaanza mazoea na genius
 
Kile kitabu tulikifumua, lakini ni nyoko aiseee.

Hivi mtunzi wake ni nani?
 
The sum of the digits of a two-digit number is 9. When we interchange the digits, it is found that the resulting new number is greater than the original number by 27. What is the two-digit number?
 
Ngoja nijaribishe
 
3 and 6
36
63
63-36 = 27
Ila kiukweli sijatumia any mathematical explanations
 
Hili swali lako ni simultaneous Equation.

lakini, hapo kwenye "Interchange" pako sahihi au umekosea maandishi

Lingesovika hiki.

Soln.

let x and y be that digits
Hence
X +Y =9

"Interchange", nadhani hili neno haliko sawasawa kwenye lugha ya kihesabu ili kupata equation ya pili
 
Hakuna chochote kilichokosewa lipo sawa kabisa!
Brainstorm zaidi...
 
Timotheo was charged sh780 after making a call to his friend. If the cost of the first three minutes was sh300/=and sh120 for each extra minute, how many minutes did he spend?
 
The sum of the digits of a two-digit number is 9. When we interchange the digits, it is found that the resulting new number is greater than the original number by 27. What is the two-digit number?
X+y=9
(10y+x)-27=xy
malzia mwenyewe
 
3 and 6
36
63
63-36 = 27
Ila kiukweli sijatumia any mathematical explanations

Umeguess mkuu...? Hahaaa!
Basi tusubiri kama yupo atakayeleta explanations za kimahesabu zaidi!
 
Mie nasubiri maswali ya differentiation na integration
 
OTE="Requal, post: 35831480, member: 598394"]
equations, (10y +x) na XY zimetoka wapi hapo kwenye statement ya huyo jamaa?
[/QUOTE]
wewe ni kilaza mwenye swali kashaelewa namaanisha nini
 
Duuh sawa, nakubali ni kilaza..fafanua sasa...pale kwenye statement ya swali hakuna sehemu yoyote yenye 10times au product ya XY.

Fafanua hizi equation umezitoa wapi? Bila hivo wote tutakuwa vilaza, maana mathematiucs ni fact, sio kulazimisha
 
Back
Top Bottom