Mathematics solver is here, Form 1 - Form 3 tupia swali hapo usaidiwe

Mathematics solver is here, Form 1 - Form 3 tupia swali hapo usaidiwe

wewe ni kilaza mwenye swali kashaelewa namaanisha nini
Duuh sawa, nakubali ni kilaza..fafanua sasa...pale kwenye statement ya swali hakuna sehemu yoyote yenye 10times au product ya XY.

Fafanua hizi equation umezitoa wapi? Bila hivo wote tutakuwa vilaza, maana mathematiucs ni fact, sio kulazimisha
[/QUOTE]
ok ngoja nikupe nondo kijana
 
nasubir ili nijifunze
 
Hizi hesabu za watoto mi nishasahau, leteni maswali ya complex numbers, differential equations, integration atleast tutaweza ongea lugha moja.
 
genius mvivu umepotea, hahaha acha kucopy ukishindwa kutoa njia uliyotumia, utanifanya niamini ile Id nayo ni yako ulikuja kivingine kujisifia hahah
 
The sum of the digits of a two-digit number is 9. When we interchange the digits, it is found that the resulting new number is greater than the original number by 27. What is the two-digit number?
yan kulikuwa na namba ambayo yenyew ina digits mbili yan kama vile 23 14 na zingnzo sasa kwakuw yo namba hatuijuh ndio mana nkalet n xy it means x inasmam badal ya digit ya kwanza na y ni kama digit y pil
 
mzee umesoma wapi hesabu? Hahaha

we jamaa hahaha, hii hesabu ya wapi hahaha.

Acha utani na namba wewe
 
then ukichukua digit y kwanz ambay ni x ukijumlisha na ya pil ambayni y jawabu liwe tsa
yaan x+y=9
 
If 0÷1=0
Use any argument or theory to prove that
1÷0 = undefined
 
kUOTE="Requal, post: 35831634, member: 598394"]
mzee umesoma wapi hesabu? Hahaha

we jamaa hahaha, hii hesabu ya wapi hahaha.

Acha utani na namba wewe
[/QUOTE]
kwa kuwa una dharau baki na ukilaza wako
 
kUOTE="Requal, post: 35831634, member: 598394"]
mzee umesoma wapi hesabu? Hahaha

we jamaa hahaha, hii hesabu ya wapi hahaha.

Acha utani na namba wewe
kwa kuwa una dharau baki na ukilaza wako
[/QUOTE]
hujanipa bado logic,
namna ulivotengeneza hiyo equation, hesabu haiko hivo..yaani una umba umba halafu unataka kunichota kizembe hivo utafikiri nimesoma HKL, Wakati nina banda kabisa la hesabu O'level na B advance
 
TE="Requal, post: 35831700, member: 598394"]
unajua unachoandika wewe, au unacopy? haha
wewe jamaa
[/QUOTE]
kaa kimya kilaza wewe umesoma HKL unakuja kubshana na aliesoma PCM unaupat wap ujasir huo
 
Back
Top Bottom