PreGE2025 Mathew Kundo: Mama tunakudai kwenda kuchukua Fomu ya Urais, Mengine utuachie Wanabariadi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mbunge wa Bariadi Eng Kundo Mathew wakati akitoa hotuba yake fupi mbele ya Rais amesema wanabaridi wanamdai fomu ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, mengine waachiwe wanabariadi.

"Haya ambayo yameshaa fanyika katika Jimbo la Bariadi hatukuda,hatukudai, hatukudai, hatukudai, ila mama itabidi uniwie Radhi mama yetu tunakupenda sana kuna jambo moja tu ambalo naomba uridhie tukudai Mh. Rais naomba haka ka kipengele kadogo tu uridhie tukudai , wanabariadi tunakudai kwenda kuchukua fomu Halafu mengine utuachie wanabariadi" Mbunge wa Bariadi Eng Mathew Kundo

Pia soma > Gazeti la Jamhuri: Naibu Waziri Kundo Mathew anadaiwa kupata elimu na kazi kwa jina FEKI. Jina lake ni Andrew Nsumbu

Safi sana haya ndio mambo mbunge wa jimbo anatakiwa kufanya sio wale wabunge wa kitaifa
 
Mbunge wa Bariadi Eng Kundo wakati akitoa hotuba yake fupi mbele ya Rais amesema wanabaridi wanamdai fomu mengine waachiwe wanabariadi.
Screenshot_20250615-124601~2.png
 
Jina lenyewe la Mh. Wabatu wengi wanapata shida kulitamka, sijui nimewaza nini anyway. Basi Mpina yuko sahihi kuomba pesa zielekezwe jimboni kwake, maana wengine walikwisha maliza shida zao
 
Mbunge wa Bariadi Eng Kundo Mathew wakati akitoa hotuba yake fupi mbele ya Rais amesema wanabaridi wanamdai fomu ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, mengine waachiwe wanabariadi.

"Haya ambayo yameshaa fanyika katika Jimbo la Bariadi hatukuda,hatukudai, hatukudai, hatukudai, ila mama itabidi uniwie Radhi mama yetu tunakupenda sana kuna jambo moja tu ambalo naomba uridhie tukudai Mh. Rais naomba haka ka kipengele kadogo tu uridhie tukudai , wanabariadi tunakudai kwenda kuchukua fomu Halafu mengine utuachie wanabariadi" Mbunge wa Bariadi Eng Mathew Kundo

Pia soma > Gazeti la Jamhuri: Naibu Waziri Kundo Mathew anadaiwa kupata elimu na kazi kwa jina FEKI. Jina lake ni Andrew Nsumbu

Wastage of resoruces
 
downloadfile.jpg
 
Bariadi ikisema, Kanda ya ziwa haipingi
Ujinga mtupu
Simiyu ndio mkoa wa mwisho kwa umasikini licha ya rasilimali nyingi
Ndio maana mwananchi anahongwa baiskeli ya shilingi 90,000=150,000 halafu anajidai amethaminiwa
Rejeo:NBS
1750265834874.png
 
Alivyoanza kusema "tunakudai..." Oooh! nikajua anafuata nyayo za Mpina Luhaga! Kumbe anamdai kuchukua fomu...
 
Huyo msaidizi wa Aweso ni chawa kindakindaki wa usukani asingekemewa kamwe hata kama angesema wanamdai hajaboresha maisha ya wananchi.

Siasa ni utapeli
 
Back
Top Bottom