PreGE2025 Mathew Kundo: Mama tunakudai kwenda kuchukua Fomu ya Urais, Mengine utuachie Wanabariadi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Safi sana haya ndio mambo mbunge wa jimbo anatakiwa kufanya sio wale wabunge wa kitaifa
Hivi lile Bunge linalokutana Dodoma ni la jimbo, basi wangekuwa wafanya vikao vya majimboni:- katika lugha ya waliosima Sana Phd 6
 
Ili kuokoa gharama za uendeshaji wa serikali, mhimili wa bunge ungemezwa na serikali kuu
 
Mbunge wa Bariadi Eng Kundo Mathew wakati akitoa hotuba yake fupi mbele ya Rais amesema wanabaridi wanamdai fomu ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, mengine waachiwe wanabariadi.

"Haya ambayo yameshaa fanyika katika Jimbo la Bariadi hatukuda,hatukudai, hatukudai, hatukudai, ila mama itabidi uniwie Radhi mama yetu tunakupenda sana kuna jambo moja tu ambalo naomba uridhie tukudai Mh. Rais naomba haka ka kipengele kadogo tu uridhie tukudai , wanabariadi tunakudai kwenda kuchukua fomu Halafu mengine utuachie wanabariadi" Mbunge wa Bariadi Eng Mathew Kundo

Pia soma > Gazeti la Jamhuri: Naibu Waziri Kundo Mathew anadaiwa kupata elimu na kazi kwa jina FEKI. Jina lake ni Andrew Nsumbu

Huyu atarudi bungeni siyo yale magwajima na mampina
 
Hawa ndio aina ya wabunge wasio jua shida za wananchi, wakumbuke Marehemu Paul Bomani alishindwa na Pascal wakati huo Pascal alikuwa Mwl WA Shule ya Msingi, TrektaJohn Samuel alishindwa na Kibajaji Jimbo la Mtera

Hata huyu Jackline Nyoni harudi
 
Wakimgwajimanize atarudi hapa akiimba Lissu Lissu Lissu .
Mbunge wa Bariadi Eng Kundo Mathew wakati akitoa hotuba yake fupi mbele ya Rais amesema wanabaridi wanamdai fomu ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, mengine waachiwe wanabariadi.

"Haya ambayo yameshaa fanyika katika Jimbo la Bariadi hatukuda,hatukudai, hatukudai, hatukudai, ila mama itabidi uniwie Radhi mama yetu tunakupenda sana kuna jambo moja tu ambalo naomba uridhie tukudai Mh. Rais naomba haka ka kipengele kadogo tu uridhie tukudai , wanabariadi tunakudai kwenda kuchukua fomu Halafu mengine utuachie wanabariadi" Mbunge wa Bariadi Eng Mathew Kundo

Pia soma > Gazeti la Jamhuri: Naibu Waziri Kundo Mathew anadaiwa kupata elimu na kazi kwa jina FEKI. Jina lake ni Andrew Nsumbu

J
 
Back
Top Bottom