Wanamdai fomu gani? Sijaelewa.Mbunge wa Bariadi Eng Kundo wakati akitoa hotuba yake fupi mbele ya Rais amesema wanabaridi wanamdai fomu mengine waachiwe wanabariadi.
Mbunge wa Bariadi Eng Kundo wakati akitoa hotuba yake fupi mbele ya Rais amesema wanabaridi wanamdai fomu mengine waachiwe wanabariadi.
Wastage of resorucesMbunge wa Bariadi Eng Kundo Mathew wakati akitoa hotuba yake fupi mbele ya Rais amesema wanabaridi wanamdai fomu ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, mengine waachiwe wanabariadi.
"Haya ambayo yameshaa fanyika katika Jimbo la Bariadi hatukuda,hatukudai, hatukudai, hatukudai, ila mama itabidi uniwie Radhi mama yetu tunakupenda sana kuna jambo moja tu ambalo naomba uridhie tukudai Mh. Rais naomba haka ka kipengele kadogo tu uridhie tukudai , wanabariadi tunakudai kwenda kuchukua fomu Halafu mengine utuachie wanabariadi" Mbunge wa Bariadi Eng Mathew Kundo
Pia soma > Gazeti la Jamhuri: Naibu Waziri Kundo Mathew anadaiwa kupata elimu na kazi kwa jina FEKI. Jina lake ni Andrew Nsumbu
Mbunge wa Bariadi Eng Kundo Mathew wakati akitoa hotuba yake fupi mbele ya Rais amesema wanabaridi wanamdai fomu ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, mengine waachiwe wanabariadi.

Wewe ndio msemaji wao?Bariadi ikisema, Kanda ya ziwa haipingi
Soma tena nilichoandikaWewe ndio msemaji wao?
Soma weweSoma tena nilichoandika
Ujinga mtupuBariadi ikisema, Kanda ya ziwa haipingi
Unaakili timamu uhongwe baiskeli tena imepakwa rangi ya laana?!!!Soma tena nilichoandika
Huyo msaidizi wa Aweso ni chawa kindakindaki wa usukani asingekemewa kamwe hata kama angesema wanamdai hajaboresha maisha ya wananchi.Alivyoanza kusema "tunakudai..." Oooh! nikajua anafuata nyayo za Mpina Luhaga! Kumbe anamdai kuchukua fomu...
Mbunge wa Bariadi Eng Kundo Mathew wakati akitoa hotuba yake fupi mbele ya Rais amesema wanabaridi wanamdai fomu ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, mengine waachiwe wanabariadi.
"Haya ambayo yameshaa fanyika katika Jimbo la Bariadi hatukuda,hatukudai, hatukudai, hatukudai, ila mama itabidi uniwie Radhi mama yetu tunakupenda sana kuna jambo moja tu ambalo naomba uridhie tukudai Mh. Rais naomba haka ka kipengele kadogo tu uridhie tukudai , wanabariadi tunakudai kwenda kuchukua fomu Halafu mengine utuachie wanabariadi" Mbunge wa Bariadi Eng Mathew Kundo
Pia soma > Gazeti la Jamhuri: Naibu Waziri Kundo Mathew anadaiwa kupata elimu na kazi kwa jina FEKI. Jina lake ni Andrew Nsumbu
Uchawa uchwaraSafi sana haya ndio mambo mbunge wa jimbo anatakiwa kufanya sio wale wabunge wa kitaifa