PreGE2025 Mathew Kundo: Mama tunakudai kwenda kuchukua Fomu ya Urais, Mengine utuachie Wanabariadi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Safi sana haya ndio mambo mbunge wa jimbo anatakiwa kufanya sio wale wabunge wa kitaifa
Hivi lile Bunge linalokutana Dodoma ni la jimbo, basi wangekuwa wafanya vikao vya majimboni:- katika lugha ya waliosima Sana Phd 6
 
Hivi lile Bunge linalokutana Dodoma ni la jimbo, basi wangekuwa wafanya vikao vya majimboni:- katika lugha ya waliosima Sana Phd 6
Ili kuokoa gharama za uendeshaji wa serikali, mhimili wa bunge ungemezwa na serikali kuu
 
Huyu atarudi bungeni siyo yale magwajima na mampina
 
Hawa ndio aina ya wabunge wasio jua shida za wananchi, wakumbuke Marehemu Paul Bomani alishindwa na Pascal wakati huo Pascal alikuwa Mwl WA Shule ya Msingi, TrektaJohn Samuel alishindwa na Kibajaji Jimbo la Mtera


Hata huyu Jackline Nyoni harudi
 
Wakimgwajimanize atarudi hapa akiimba Lissu Lissu Lissu .
J
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…